Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Hi,Hello guy
Long time no see my friend, where were you?
post using my macbook air using jamiiforums app
Hi,Hello guy
Simoooo mtu na anko wakeAnko, wewe wala huhitaji kuchonganishwa, utasingizia tu aunt yangu. Wewe ninkichonganishi tayari, huko Mtwara kafuata nini hata asiniage?
Yupo humu jfSijamfukuza, atakuwa ametingwa tu kidogo
Akisusa nitakusindikiza mimi jamaan Baba D
Hatari sana8/Cape Buffalo![]()
![]()
Usimdharau nyati eti kwavile tu umezoea kuichezea shilingi 500 elewa tu ni picha ila ukikutana nae porini mnyama anatisha huyu na utajisaidia haja ndogo bila kupenda
Nyati anatumia pembe kufanya ujeuri ....ni zaidi ya ng'ombe achilia mbali mbwembwe za kondoo
Pia nyati wana umoja hivyo elewa ukimshinda mmoja wanakuja kumi![]()
Kazi ipo !!!
.......
Shukrani mkuuTyping error
Sentimeta(Sm) 1.5 hadi 6
......
YaaaaahAsante sana mdau. Si unajua kina sie tunapenda tujue kama mchezaji wetu kafunga
Nitamsindikiza ndio binamu hata akienda kwa mdogo wa mama ashuraUnajua anaenda wapi? Utalipuka roho wewe, huko anakoenda ni kwa teller , anaenda kuomba samahani kwa kumnunulia Brazilian wig badala ya shela eti waende bomani.
Nimekupa taarifa sema asante.
Bado unataka kumsindikiza?
Hiiiiii....labda kabadili ID,
Kajipelekaa kwa dada anguuAnko, wewe wala huhitaji kuchonganishwa, utasingizia tu aunt yangu. Wewe ninkichonganishi tayari, huko Mtwara kafuata nini hata asiniage?
Duh, hatari sana.9/Elephant![]()
![]()
Ndiye mnyama mkubwa zaidi wa nchi kavu uzito wake huweza kufikia tani 6 na ushee
Silaha yake kuu ni trunk kwa kiswahili nasikia ni mkonga....huutumia kuangusha mito,magari n.k kwake huu ndo kama mkono
Pia anatumia miguu yake kudhuru watu/wanyama yaani akikukanyaga ndani ya dakika sifuri unavunjika mbavu na kujinyea
Uzito wake mkubwa nao ni silaha
Ukipita Mikumi na gari lako punguza mbwembwe ana uwezo wa kulipindua,kulinyanyua na kulipondaponda au kulikanyaga likawa kama chapati za Mama Said
....
Lakini kule tunashuuutiiii moviee...si nilikwambiaa dili la kuigiza kaole limetikiiiUnajua anaenda wapi? Utalipuka roho wewe, huko anakoenda ni kwa teller , anaenda kuomba samahani kwa kumnunulia Brazilian wig badala ya shela eti waende bomani.
Nimekupa taarifa sema asante.
Bado unataka kumsindikiza?