Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ni noma akigandamiza guu lakeNa hua hana kishindo akitembea hua hatua zake hazisikiki pamoja na kua na uzito mkubwa
Madame S
.....
Ni noma akigandamiza guu lakeNa hua hana kishindo akitembea hua hatua zake hazisikiki pamoja na kua na uzito mkubwa
Madame S
Aisee ngoja tuwasubir basApa ndo tunasumarizee siku...nasubiriaa wapiga kura wangu waniambie leo shule wamejifunza nn

Ahahha na alivyoulamba binamu na viatu vipya
Typing errorMkuu naomba mrejesho hapo kwenye bold
Sentimeta(Sm) 1.5 hadi 6
Si ulinionaga kipindi kile anko kanileta mjini na cha-cha-cha, leo nimepiga Skechers memory card gel infusion. Viatu vina memory card




Hasomekiiii
Yaaan sijui binamu alivoenda kwa mganga alimwambia havuruge couple za humu zote ili yeye ashaaaainiiii ....
Binamu wewe kibokoo
Tunashukuru sana kipenzi cha Baily5Poa bana nimepita kuwasabahi
Madame S
Tunashukuru sana kipenzi cha Baily5
Tupo wanao
Aisee9/Elephant![]()
![]()
Ndiye mnyama mkubwa zaidi wa nchi kavu uzito wake huweza kufikia tani 6 na ushee
Silaha yake kuu ni trunk kwa kiswahili nasikia ni mkonga....huutumia kuangusha mito,magari n.k kwake huu ndo kama mkono
Pia anatumia miguu yake kudhuru watu/wanyama yaani akikukanyaga ndani ya dakika sifuri unavunjika mbavu na kujinyea
Uzito wake mkubwa nao ni silaha
Ukipita Mikumi na gari lako punguza mbwembwe ana uwezo wa kulipindua,kulinyanyua na kulipondaponda au kulikanyaga likawa kama chapati za Mama Said
....
Tunashukuru sana kipenzi cha Baily5
Tupo wanao
Maajabu hayaNa hua hana kishindo akitembea hua hatua zake hazisikiki pamoja na kua na uzito mkubwa
Madame S
Ni kweli mkuu hilo nimelitambua sasaAsante sana mdau. Si unajua kina sie tunapenda tujue kama mchezaji wetu kafunga
Kweli shemMmh jamaan
Duh utaonaje huo ubao sasaHa ahahhahaah, tangu jana nilisema nakaa siti ya mbele, naona umeniwahi. Nakaa ubaoni kabisa , sitaki kuwa wa mwisho everyday
Unataka kunichonganishaaa
Sijamfukuza, atakuwa ametingwa tu kidogoKweliii shem ujue umenifukuzia cuzoo wangu