Makapuku Forum

Makapuku Forum

10/Poison Dart Frog
e3bfa1e63dba6af4ca9b112a23578fa1.jpg
257ae93c5b5cb7e8a6e4468a4ac80a64.jpg

Ana rangi mbalimbali za kuvutia wapo wa zambarau,wekundu,kijani n.k
Wanapatikana huko Amerika Kusini na pia Amerika ya kati
Hapa nazingumzia chura mtemi haswa japo ana umbo dpgo kati ya Sentmeta 1.5 hadi 6....Kama umezoea kuwapigapiga teke vyura wazembe wazembe kitaani kwenu basi ukienda huko Amerika Kusini chunga sana la sivyo utaumia
Silaha take kuu ni sumu iliyo mwilini mwake yaani anatema sumu pia nafikiri ngozi yake nayo majanga
Uzuri wa ngozi/rangi zao wanazitumia tu kama chambo na kupumbaza maboya
.....
 
10/Poison Dart Frog
e3bfa1e63dba6af4ca9b112a23578fa1.jpg
257ae93c5b5cb7e8a6e4468a4ac80a64.jpg

Ana rangi mbalimbali za kuvutia wapo wa zambarau,wekundu,kijani n.k
Wanapatikana huko Amerika Kusini na pia Amerika ya kati
Hapa nazingumzia chura mtemi haswa japo ana umbo dpgo kati ya am 1.5 hadi 6....Kama umezoea kuwapigapiga teke vyura wazembe wazembe kitaani kwenu basi ukienda huko Amerika Kusini chunga sana la sivyo utaumia
Silaha take kuu ni sumu iliyo mwilini mwake yaani anatema sumu pia nafikiri ngozi yake nayo majanga
.....
Wamependeza na rangi zao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom