dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Habar za jioni wandugu
Okay,nigNotng new ma nig
Hii Mac book yako ni ya kichina??
Leo umekaa mbelee
NzuriiiHabar za jioni wandugu
Ha ahahhahahaha, mimi ni Mzee wa spoilers, unataka nibashiri Mr X ni nani? Unamkumbuka yule mdingi aliyekuwa anapigapiga simu nadhani ni episode ya 23-27?

Kamanda za majukumu?Nzuriii
Kwemaaa mkuuKamanda za majukumu?
Mishe mishe zinaendaje?Kwemaaa mkuu
Apa ndo tunasumarizee siku...nasubiriaa wapiga kura wangu waniambie leo shule wamejifunza nnMishe mishe zinaendaje?
Hata sijamfanya kitu...... Ni bado mapema kumpa vituHivi cuzoo wangu umemfanya ninisimsomi

Hell yeah!!Kwema tu
Leo wengi bize
This is life
........


Tumekumis piaaKwema sana nime wamiss!!
Madame S
YawezekanaHasomekiiii
Yaaan sijui binamu alivoenda kwa mganga alimwambia havuruge couple za humu zote ili yeye ashaaaainiiii ....
Binamu wewe kibokoo
Jamanicuzoo mpaka ananikwepa akiii sijui nyagei kamfanyaje cuzoo wangu
