Makapuku Forum

Makapuku Forum

7/Saltwater Crocodile
8ddf6b406a2af743fc14accf76e35632.jpg
cc2fd9c2dc2ef73889506ae1b49a982e.jpg
Wanapatikana barani Afrika,Asia na Australia
Wanaishi kwenye mito na maziwa ya maji chumvi ndo chanzo cha jina lao
Huwa na urefu kati ya futi 5 hadi 20
Wana tabia ya kunyatia mawindo kimyakimya yaani ni fundi wa kuwinda
Pia ana spidi kubwa awapo majini hivyo huwezi kushindana nae
Ana meno makali balaa hivyo kwake kuvunja mfupa ni sawa na kuvunja bisjuti tu
Kwa mwaka hiua na kujeruji takribani watu 600 hadi 800
.....
 
Danger sana
 
Huyo ni muuaji hatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom