Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Na hua hana kishindo akitembea hua hatua zake hazisikiki pamoja na kua na uzito mkubwa9/Elephant![]()
![]()
Ndiye mnyama mkubwa zaidi wa nchi kavu uzito wake huweza kufikia tani 6 na ushee
Silaha yake kuu ni trunk kwa kiswahili nasikia ni mkonga....huutumia kuangusha mito,magari n.k kwake huu ndo kama mkono
Pia anatumia miguu yake kudhuru watu/wanyama yaani akikukanyaga ndani ya dakika sifuri unavunjika mbavu na kujinyea
Uzito wake mkubwa nao ni silaha
Ukipita Mikumi na gari lako punguza mbwembwe ana uwezo wa kulipindua,kulinyanyua na kulipondaponda au kulikanyaga likawa kama chapati za Mama Said
....
Madame S
