Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muulize anko, tulienda kwa mganga mmoja apewe limbwata wewe umpende zaidi, mengine atasema mwenyewe maana yeye ndo aliambiwa akapasue nazi. Kwani hujionei mabadiliko miaka ya hivi karibuni?
lee empire
Binamu me nampenda tu Baba D hayo ya mganga siyaamini nipo na Yesu kristo mwana wa Mungu [emoji120]
 
Back
Top Bottom