.....nimechanganyikiwa kwa kweli na yeye anazidi kuzidisha dozi tu za mahaba, yaani wali napewa hadi ule ukoko wa juu (mahaba), nisichanganyikiwe nimekuwa chizi
Kuna ubishi mkubwa jinsi ya kuujua ni mto upi mkubwa kati yao
Hata tu kwa urefu wa kawaida
Wapo wanaosema ni Nile badala ya Amazon
Ila kwa upana mto Amazon ni mkubwa
Kwa kina pia ni mkubwa
Hivyo kwa vigezo vyote mto Amazon ni balaa
......
...ikiwa hivyo nitakuja na gazeti, tutalisoma tunagawana kurasa tu. Gazeti la Daily News kuubwa tunasoma hadi kurasa za kimataifa, hadi tunamaliza wahudumu washalewa tunaondoka
...ikiwa hivyo nitakuja na gazeti, tutalisoma tunagawana kurasa tu. Gazeti la Daily News kuubwa tunasoma hadi kurasa za kimataifa, hadi tunamaliza wahudumu washalewa tunaondoka