Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU YA LEO


If you don't lose, you cannot enjoy the victories. So I have to accept both things.

Kama usipopoteza mchezo, hutoweza kusherekea ushindi,hivyo nimekubali vitu vyote.


Haya maneno yaliwahi kusemwa na Mcheza tenis wa kihispaniola Rafael Rafa Nadal Perera.

Rafael Nadal alizaliwa June 3 1986 katika mji wa manacor, Baleric island nchini Hispania.

Baba yake Rafael Nadal anafanya biashara za Bima na ana kampuni ya kutengezena Madirisha na Vyoo.

Mama mzazi wa Rafael Nadal ni mama wa nyumbani tuu..Rafael Nadal ana mdogo wake wa kike pia.

Rafael anashikilia nafasi ya pili kwa ubora duniani. Rafael aliingizwa kwenye mchezo wa tenis akiwa na miaka 3 na aliyekuwa mchezaji mstaafu Toni Nadal ambae ni mjomba wake na ndio kocha wake hadi sasa.

Rafael Nadal anashikilia recordi mbali mbali ikiwemo za michezo ya olympic, wimbledon, us opens, French open na australia open.

Rafael ni shabiki mkubwa wa Real madrid na Rc mallorca.
5de591070c3ab7577df2ab72eb6e7149.jpg

210476ec3a3ababf9a33436d0781c7dd.jpg

Sina la ziada katika Nukuu..

Imeletwa kwa udhamini wa

Cc mahondaw na @smart11
Asante bae kwa nukuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom