Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Usiseme hivyo dada yataisha amini hivyoHaya bwana... Mie nipo... Akirudi nitampokea kwa mikono miwili
Usiseme hivyo dada yataisha amini hivyoHaya bwana... Mie nipo... Akirudi nitampokea kwa mikono miwili
Ngoja nijifanye nimeelewa hasira za sakayo zisije kuamia kwa shunie wanguUnaelewa maana ya "what is your problem?
Mbona hili kama langu...! Sidhani linakugusa..
SawaPole yakee ndo mapenziii
Na nyie mkipendwa penda jamaaniii
Nimeseme nini baba d kila kitu nimeshasema nimeongea yoteSema chochote na roho yangu ituliee
Kweli sikwenda shemHujaaendaa kwelii??
Najua dada najua hali unayojiskia yataisha tu uwe na AmaniNajisikia vibaya ujue mdogo wangu
Kwa hiyo ule ukali wako wa kutishiaa kunyongaa wote umeishia kutishia wakina husnaSawa
SawaNdo mjifunzee sasa thamani ya kupendwaaa....
Hakuna kipyaa tena ???Nimeseme nini baba d kila kitu nimeshasema nimeongea yote
Sema ukweliiiKweli sikwenda shem
Ni kweli tumepitia mengi tu yatapita ahahha nimecheka ya binamu na phd ya mama mchuchu halaf mama anaumwa miguu masikini yupo tmj ameenda mara mojaNi mpito tu kama sio mapito ...huoni binamu anakaribia kuchukua phd kwa mama mchuchu
Na sisi tushapitia hicho kipindi kuliko chake
Au nadanganyaa??
Umemaanishaje hapoPole yakee ndo mapenziii
Na nyie mkipendwa penda jamaaniii
Me naenda nyumbani... Ngoja nikalaleNdio wanaume lakini walivyo
Baba D ebu acha ujue T akija anachulia serious hujui tu huko yalivyoHujaaendaa kwelii??
Sawa mdogo wangu... Mie naenda nyumbani...Usiseme hivyo dada yataisha amini hivyo
Ni kweli tumepitia mengi tu yatapita ahahha nimecheka ya binamu na phd ya mama mchuchu halaf mama anaumwa miguu masikini yupo tmj ameenda mara moja
na binamu yangu kweli Mungu kamuumbaa ....
Namaanisha hivi T hajapenda utanina aliofanya sakayo na sio kila mtu anapenda mautaniUnamaanisha nin
Mimi naulizaaaaaBaba D ebu acha ujue T akija anachulia serious hujui tu huko yalivyo
Kwani hatujui kupenda au hayo ni kawaida tu kwenye mahusianoNdo mjifunzee sasa thamani ya kupendwaaa....