Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
AsanteSawa dada nafurahi kukuona ukiwa happy
AsanteSawa dada nafurahi kukuona ukiwa happy
Beatifull ice landscape...
Same to me... You always make smile, feel loved and protected
Nakupenda wewe mtoto wa kibondei..Same to me... You always make smile, feel loved and protected
AsanteEnd![]()
..........
Nakupenda pia To..... Wangu..Nakupenda wewe mtoto wa kibondei..
![]()
NimekuelewaHunielewi?
Wadhamini wa mchana ......baada ya kushushia lunch yako tusiulizane umekula nini wala wapiii ebhu nikusogezee huyu cheusi wangu .......yaaaaaah kansiime don't mess with her. ...enjoy
Hivi haya ni ya kweli eeh?Nakupenda pia To..... Wangu..
I will never even try to hurt you babe
Hilo ni kweliii ...hawa viumbe wana uwezo mkubwa wa kudect kinachotoka ndani zaidiiii hasa zile wave muhimu na hatari zinazosababisha haya majanga....viumbe wengi mfano panya ...mbwa ...nyoka ..centipede wanauwezo mkubwa wa kuditect zile wave muhimu hasa ni P wave nikimanisha primary wave ambazo nadra sana binadamu wa kawaida kuziditect ....make hizo ndo zinatoka mapema kabla ya zile S wave ...hizi sisi tukizigundua bhasi hao viumbe yawezekana ishapita ata wiki washagundua kitu hikiii...Kwa wasiofahamu wanyama kama mbwa wana uwezo mkubwa wa kung'amua dalili za tetemeko sababu wanasikia mawimbi/mtetemo kutoka umbali mrefu ardhini![]()
Hata Bukoba Kagera alikuwa hivyo ila kutokana na "ushamba" wawabongo wakawadharau mbwa na kuwaona vichaa matokeo yake wanayajua wenyewe
End
.....
..........
Hapo chachaKama wabunge wanaolipwa mamilioni wanalia ukata
Sisi akina ngumbaru tulilie lipi?
....
OK karibuuuuu