Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Tunathamini sana basi tuNimemanisha thamini yule akupendaee
Tunathamini sana basi tuNimemanisha thamini yule akupendaee
Mnajuaa wapiiii wachache kama wewe![]()
![]()
wanaojuaa
Ila Mungu niwekee shunie wangu jamaniiii...







Hivi kumbe sakayo anakuwaga mpolee hiviNakupenda dada yataisha tu mpenzi

Ahahha umenikumbusha habari za kunyonga baba d ebu tumsaidie sakayo kwa T yaishe haya nakuombaUnacheka nini thathaaaaa....
Mm ningekuwa nshachokaa kitambo
HaleluyaaWala sio matishio, Kuna maisha zaidi ya kazi.... Nahitaji kuwa na nimpendae tulee familia pamoja...
Maswala ya kazi ni kazi tuu
Analiaa nini thathaaaaaUnachochea sasa hujui T halaf sakayo analia tu daah
Hivi Mie simthamini T Kweli jamaniiNimemanisha thamini yule akupendaee
Hapana nimefunga hapo nimemaanisha sakayo aendeKwa hiyo mama siku hizi pm umefunguliaa ??
Etii bhasiiii tuuTunathamini sana basi tu
Natamani kucheka ujue hivi una nini lakini au unajua sakayo ni robotHivi kumbe sakayo anakuwaga mpolee hivi
Ata mm naweza kumshauriii na akaufanyia kazi ushauri wangu ....![]()
![]()
![]()
Mm sizipendiii hizi emojiii
Kuchoka nini tena jamaanMm ningekuwa nshachokaa kitambo
T haelewi kitu amepanickAnaliaa nini thathaaaaa
Kufanyaje sasa... Mie toka jana naomba msamaha na kasema yameisha sa leo ndo kaanza upyaaEbu twende pm kwa T
Unamthamini sana dada zaidi ya sanaHivi Mie simthamini T Kweli jamanii
Mbona yashaishaaa...mwambie aongezee doziiiiAhahha umenikumbusha habari za kunyonga baba d ebu tumsaidie sakayo kwa T yaishe haya nakuomba
Sawa mamyNakupenda dada yataisha tu mpenzi