ngoja nione uhondo wa huku
SafiNdiooo
Huyo mkeka hauhami tu [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji1] [emoji1] [emoji1] taratiiibu atajua tu
Muzee ya peremende [emoji3] [emoji3]Nitag jibuu twafwazwariiiii
Ankali za asubuhiAsante Lee kwa magazeti
HBD Angela MerkelLeo katika Historia
1954 - Angela Merkel anazaliwa.
Mwanamama huyu ni kansela wa Ujerumani.
HBD ngongoti Jaap StamLeo katika Historia
1972 - Jaap Stam anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man utd, Ac Milan na Uholanzi.
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Muzee ya peremende [emoji3] [emoji3]
Na kaskazini je [emoji3] [emoji3]Leo katika Historia
Ni siku ya katiba huko Korea Kusini.
Asante kwa leo katika historia ankali JJWahenga walisema hakuna lennye mwanzo lisilo na mwisho. Tukutane tena kesho, shukrani kwa udhamini mnono kabisa wa WAHENGA niite Jimena Jimenes
HASTA LA VISTA!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sanchez tulia
Hata Europa League ni michuana ya UEFA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
AiseeHappy Birthday Jimena !
Anachonifanyia [emoji115] [emoji115] huyu jamaa sio fair jamani...... Kisa cha kukazania kunipumzisha kwa amani hivyo???? Yani kama vile mi ndio niliekufa[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Aisee, sikujua kama hana mtoto![]()
![]()
![]()
Ana elimu ya Doctorate in Physical Chemistry yaani ni msomi kweli kweli siyo wale wakupewa km fulani
Ni kiongozi wa Christian Democratic Union(CDU)
Hana mtoto yoyote ....sijajua kama ni mgumba,lifestyle au kawahi kuzaa mtoto akafa
Kwa Wajerumani huyu ni kama Margaret Thatcher a.k.a Iron Lady
.......