Asante T kwa nukuuNUKUU YA LEO
If you don't lose, you cannot enjoy the victories. So I have to accept both things.
Kama usipopoteza mchezo, hutoweza kusherekea ushindi,hivyo nimekubali vitu vyote.
Haya maneno yaliwahi kusemwa na Mcheza tenis wa kihispaniola Rafael Rafa Nadal Perera.
Rafael Nadal alizaliwa June 3 1986 katika mji wa manacor, Baleric island nchini Hispania.
Baba yake Rafael Nadal anafanya biashara za Bima na ana kampuni ya kutengezena Madirisha na Vyoo.
Mama mzazi wa Rafael Nadal ni mama wa nyumbani tuu..Rafael Nadal ana mdogo wake wa kike pia.
Rafael anashikilia nafasi ya pili kwa ubora duniani. Rafael aliingizwa kwenye mchezo wa tenis akiwa na miaka 3 na aliyekuwa mchezaji mstaafu Toni Nadal ambae ni mjomba wake na ndio kocha wake hadi sasa.
Rafael Nadal anashikilia recordi mbali mbali ikiwemo za michezo ya olympic, wimbledon, us opens, French open na australia open.
Rafael ni shabiki mkubwa wa Real madrid na Rc mallorca.
![]()
![]()
Sina la ziada katika Nukuu..
Imeletwa kwa udhamini wa
Cc mahondaw na @smart11
Huku kwema habar ya Moshi ama ushasepaSalama kabisa mpendwa, za pande hizo
Imegoma kufungukaTuwe na huruma ....
Don't mess with kansiime....
kati ya comedian wanaojua wanachokifanya kwa East Africa huwezi kumuacha huyu dada kutoka kwa m7 ....yaaaa Uganda ..
Sio kwamba wa kwetu hawajui ila utofauti upo mkubwa sana kati yao na sisi ata Kenya wako vizuri....sijajua ni Lugha ndo inawasaidia au laaah....
Kiukweli kazi za huyu dada nazipenda kinomaaaa....sio mbaya na wew ukapoteza mawazo kidogo kwa huyu cheusi wangu ....eti wangu namaanisha kansiime.......
Babu CostaMshambuliaji wa Chelsea Diego Costa amepigwa picha kwenye Instagram akiwa amevaa jezi ya Atletico Marid na kuandika “mpe salaam zangu Conte”. (Mail)
HataondokaMeneja wa Arsenal, Arsene Wenger anadhani kuwa ataweza kumshawishi Alexis Sanchez, kutoondoka Emirates. (Mirror
Napenda sana comedy zakeKansiime yupo juu aisee
AfadhaliHataondoka
Anataka champions leagueHataondoka
Kwa habari zilizopo ni kwamba Thomas muda wowote anatua EmiratesArsene Wenger amekata tama ya kumsajili Kylian Mbappe, 18, na badala yake sasa anaelekeza nguvu katika kumsajili Thomas Lemar, 21, kutoka Monaco. (Telegraph)
NimeonaKwa habari zilizopo ni kwamba Thomas muda wowote anatua Emirates
Hawa wanakomoana tuMeneja wa Manchester United Jose Mourinho anataka Toni Kroos, 27, kuwa sehemu ya mkataba wowote utakaomhusisha David de Gea kwenda Real Madrid. (Sun)
Huo utani sio mzuri LeeAnasepaaa....man city![]()
![]()
![]()
Kweliii nakwambiaa...Aguero anatua darajanHuo utani sio mzuri Lee
Asante, nawe piaKwa udhamini mnono wa kapuku wote tuwe na mchana mwema