Salama saliminiiiMmeamkaje wapendwaaa
Dahteh teh! mpotezee tu! labda alikorogwa na mambo

Karibuuuungoja nione uhondo wa huku
Leo katika Historia
1955 - Disney land yafunguliwa rasmi na Walt Disney huko California, Marekani.
Leo katika Historia
1976 - Anders Svensson anazaliwa.
Mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Sweden.
Hongera kwa 242kAsanteeee
Leo katika Historia
Ni siku ya katiba huko Korea Kusini.
Ndo ivokweli mdau itakuwa alilewa na vitumbua vya bugurooney.. vitumbua vile avimuachi ntu salama!
Ni nafikiri ni lifestyle tuLabda hakuwa na muda, busy kwenye harakati

Usiige kila kituNa wewe pia mdau ...sema na mm nimeanza kufuga kuku![]()
![]()
![]()
![]()
YeapNi nafikiri ni lifestyle tu
.....
Asante kwa Nukuu ya leoNUKUU YA LEO
If you don't lose, you cannot enjoy the victories. So I have to accept both things.
Kama usipopoteza mchezo, hutoweza kusherekea ushindi,hivyo nimekubali vitu vyote.
Haya maneno yaliwahi kusemwa na Mcheza tenis wa kihispaniola Rafael Rafa Nadal Perera.
Rafael Nadal alizaliwa June 3 1986 katika mji wa manacor, Baleric island nchini Hispania.
Baba yake Rafael Nadal anafanya biashara za Bima na ana kampuni ya kutengezena Madirisha na Vyoo.
Mama mzazi wa Rafael Nadal ni mama wa nyumbani tuu..Rafael Nadal ana mdogo wake wa kike pia.
Rafael anashikilia nafasi ya pili kwa ubora duniani. Rafael aliingizwa kwenye mchezo wa tenis akiwa na miaka 3 na aliyekuwa mchezaji mstaafu Toni Nadal ambae ni mjomba wake na ndio kocha wake hadi sasa.
Rafael Nadal anashikilia recordi mbali mbali ikiwemo za michezo ya olympic, wimbledon, us opens, French open na australia open.
Rafael ni shabiki mkubwa wa Real madrid na Rc mallorca.
![]()
![]()
Sina la ziada katika Nukuu..
Imeletwa kwa udhamini wa
Cc mahondaw na @smart11
Asante mikeNUKUU YA LEO

PamojaAsante kwa Nukuu ya leo
Tunaiga mazuri tuUsiige kila kitu
Jipange
....
PamojaAsante mike