Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mtu mmoja auawa nchini Venezuela wakati wa zoezi la upigaji kura ya maoni lisilo rasmi.

Zikiwa zimebakia wiki chache tu kufanyika Uchaguzi mkuu nchini Kenya, wanasiasa wanaowania nafasi ya Unaibu rais kupambanishwa leo katika mdahalo.

Mashirika ya Kiraia Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo yawataka raia kupinga makundi yanayowataka kuandamana.

Na Afrika Kusini wameibuka washindi wa jumla wa mashindano ya riadha kwa vijana wasiozidi umri wa miaka 18 yaliyokamilika jumapili mjini Nairobi.
Shukrani mdau
Nikutakie siku njema
....
 
f3d4883415572cf4d9842df7b8efda57.jpg
Kama wabunge wanaolipwa mamilioni wanalia ukata
Sisi akina ngumbaru tulilie lipi?
....
 
Leo katika Historia

1954 - Angela Merkel anazaliwa.
Mwanamama huyu ni kansela wa Ujerumani.
ead40f69ff93acd54bbd2cb09c164562.jpg
a261e9371154865965a917000cf5fb26.jpg
b7f69c7aa48545de7899555716f97186.jpg

Ana elimu ya Doctorate in Physical Chemistry yaani ni msomi kweli kweli siyo wale wakupewa km fulani
Ni kiongozi wa Christian Democratic Union(CDU)

Hana mtoto yoyote ....sijajua kama ni mgumba,lifestyle au kawahi kuzaa mtoto akafa
Kwa Wajerumani huyu ni kama Margaret Thatcher a.k.a Iron Lady
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom