Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Asante kwa UF na dondoo za bbcNdiooo
Asante kwa UF na dondoo za bbcNdiooo
Nakushangaa Unapenda uzee binti wewe wakati wenzio wanaukimbia.Mi ni muhenga kwenu
Hakutaka kaburi lake kutukuzwa
Na leo uje tena basi....... I real miss ya
Leo katika Historia
1955 - Disney land yafunguliwa rasmi na Walt Disney huko California, Marekani.
Walevi na mateja dunia nzima!
Sasa mimi sijui ntaenda lini tu.... Labda ntapeleka watotoAisee, that place is hugeeeeee!
Kuna kila aina ya michezo, mingine hata hujawahi fikiria kama ipo.
All is wellMiss you too Jimena,
Hope you are doing well.
NdioooooAu nyie bado wapendwa watazamiajiiii
NiajeeeeeeeeeePachaaa
Lakini mwisho wa sikuakaja kishinda kesi na kuachiwa pamoja na kirejeshewa mataji