Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
AsanteeeeWahenga walisema hakuna lennye mwanzo lisilo na mwisho. Tukutane tena kesho, shukrani kwa udhamini mnono kabisa wa WAHENGA niite Jimena Jimenes
HASTA LA VISTA!!
AsanteeeeWahenga walisema hakuna lennye mwanzo lisilo na mwisho. Tukutane tena kesho, shukrani kwa udhamini mnono kabisa wa WAHENGA niite Jimena Jimenes
HASTA LA VISTA!!
Kumbe ndo huyuu djSasa mimi sijui ntaenda lini tu.... Labda ntapeleka watoto
Karibu sana Dj Copplebots unajua vile umemisika hapa
Sasa hebu pata picha uzi wa birthday ye amekazania Kuniambia nipumzike kwa amanianata kukuzika ukiwa hai..!
HayupoooPachaaa
Na wewe pia mdau ...sema na mm nimeanza kufuga kuku[emoji4] [emoji4] [emoji4]Shukrani mdau
Nikutakie siku njema
....
Labda hakuwa na muda, busy kwenye harakati![]()
![]()
![]()
Ana elimu ya Doctorate in Physical Chemistry yaani ni msomi kweli kweli siyo wale wakupewa km fulani
Ni kiongozi wa Christian Democratic Union(CDU)
Hana mtoto yoyote ....sijajua kama ni mgumba,lifestyle au kawahi kuzaa mtoto akafa
Kwa Wajerumani huyu ni kama Margaret Thatcher a.k.a Iron Lady
.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sanchez tulia
Hata Europa League ni michuana ya UEFA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Unasemaaaa???[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hivi Wolper si ananuka
Au dogo ni jasiri ?
......
Ndio mwenyewe alikuwa akikaa kwenye 1 na 2 panakuwa hapatoshiKumbe ndo huyuu dj
Ignore him !!Happy Birthday Jimena !
Anachonifanyia [emoji115] [emoji115] huyu jamaa sio fair jamani...... Kisa cha kukazania kunipumzisha kwa amani hivyo???? Yani kama vile mi ndio niliekufa[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Karibu ankaliAsanteeee
Hope uko poa auntKaribu ankali
Dah [emoji53]Ignore him !!
Pengine alitaka tu sifa
Ufafanuzi kidogo tu unatosha
Mtu keshashiba vitumbua
.......
Niko poa kabisa, siku zinaenda tuHope uko poa aunt
Bora ziendeeNiko poa kabisa, siku zinaenda tu
teh teh! mpotezee tu! labda alikorogwa na mamboSasa hebu pata picha uzi wa birthday ye amekazania Kuniambia nipumzike kwa amani
Leo katika Historia
1972 - Jaap Stam anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man utd, Ac Milan na Uholanzi.
kweli mdau itakuwa alilewa na vitumbua vya bugurooney.. vitumbua vile avimuachi ntu salama!Ignore him !!
Pengine alitaka tu sifa
Ufafanuzi kidogo tu unatosha
Mtu keshashiba vitumbua
.......