shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yeeeeaaaaah muntu ya baremboo ...wanaomelemeta kama yange yangeee....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yeeeeaaaaah muntu ya baremboo ...wanaomelemeta kama yange yangeee....
Wewe na kutoskipMbuzi wake alikuwa anatiwa suna
Alisema mke mkubwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alieitumia hiyo sasa HV keshakuwa muhenga![]()
Umewahi kutumia hii ?
...
Mzee wa kumetametaaaaMuzee ya peremende Asante kwa magazeti
Husna weweAlieitumia hiyo sasa HV keshakuwa muhenga
Hata hajapendezaaaa kabisaa yaani ni bora angejivalia dira km mie tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] sio kwa fasheni hyo
Mmmmh!Hio ni zaidi ya laki kwa sasa
Kama wewe [emoji125] [emoji125]Alieitumia hiyo sasa HV keshakuwa muhenga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama wewe [emoji125] [emoji125]
Kumbe na we unajirushaga[emoji134]Duh fresh
Ndo nimetoka kujirusha muda hii...nimeamua kumalizia siku hapa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Mbona unakazia sana kudiscuss hizo nyonyo??!!Eti yanautwa malapa au yeboyebo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] watu mnawaza kunywa na kuhonga tuHaijawahi kuwa hivyo mdau
Wakati 100/ ikiwa noti ya aina hiyo ilitosha kununulia muhindi mzima wa kuchoma tu
Sasa acha kuidharau laki ....inatosha kabisa kunywa na kuhonga
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
[emoji106]Shukrani Husna
Umeniongezea kitu kichwani
......
Unakodoa kodoooooo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Siku njema kwako piaHabar ya asubuh View attachment 544082muwe na siku njema ..
Pamoja[emoji109] captain[emoji61]Siku njema kwako pia