shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Salama kabisa, vip pande hizoWakuu kumekucha swalamaaaaaa. ..siku nyingine wiki mpya mawazo mapya na mipango mipya...ashukuriwe aliyeee juuu....soon zile triple za mapema zinashushwa....
Salama kabisa, vip pande hizoWakuu kumekucha swalamaaaaaa. ..siku nyingine wiki mpya mawazo mapya na mipango mipya...ashukuriwe aliyeee juuu....soon zile triple za mapema zinashushwa....
Kwema kabisaSalama kabisa, vip pande hizo
Asante kwa hadithi UF na BBCTuwe na mwanzo mwema wa siku....
Kila kitu kinawezekana....![]()
Shukran Lee kwa Magazet
Asante mzee ya peremende aka mtoto wa MaoWakuu kwa udhamini mnono wa mr shululu tuyapitie magazeti
Naona leo kachelewewa kidogo ....
Najikumbushia tuu
Yeeeeaaaaah muntu ya baremboo ...wanaomelemeta kama yange yangeee....Asante mzee ya peremende aka mtoto wa Mao
Asantee mkuuShukran Lee kwa Magazet
Uko poa mpendwa wa Obe
Vizuri jambo jema, B hajamboKwema kabisa
Nimesaidia make leo si unajua j3 ...
Mbuzi wake alikuwa anatiwa sunaUliadimika kaka ake ua ulitekwa
B mzima japo mamake kakataa hilo jinaVizuri jambo jema, B hajambo
Tupo familia moja ya KF