Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Sina nenoHata mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Asante sanaaKaribu sana
Makapuku tunapenda wageni
Lengo la uzi nnJickie nyumban ruksa kuchangia chochote
Kumekucha salama Mr Lee habari ya mwanzo wa wikiWakuu kumekucha swalamaaaaaa. ..siku nyingine wiki mpya mawazo mapya na mipango mipya...ashukuriwe aliyeee juuu....soon zile triple za mapema zinashushwa....
Nawe pia mkuuTuwe na mwanzo mwema wa siku....
Kila kitu kinawezekana....![]()
Kuelimishana ...kuburudishana ...kudumisha umoja ... kupenda na kupendana na mengineyo mengiLengo la uzi nn
Namshukuru Mungu kiujumla familia wote tuko poaKumekucha salama Mr Lee habari ya mwanzo wa wiki
KaribuuNawe pia mkuu
Amani itawale familia yakoNamshukuru Mungu kiujumla familia wote tuko poa
Asante mkuuKaribuu
AmenAmina na kwako piaa