Makapuku Forum

Makapuku Forum

Lengo la huu uzi halijawahi kuwa kupeana like ilitokea tu kila post ilipata like hivyo kugeuka mazoea

Kwangu mimi ni bora mtu asinipe like ila apost kitu chenye manufaa(kunielimisha,burudisha,chekesha n.k)
Lengo kuu la thread ni kudumisha urafiki na kupeana maarifa...urafiki unadumisha kwa kupiga stori kwa kutaniana,chekeshana n.k
Kupeana like ingekuwa ni lengo letu basi Uzi ungekuwa wa kurundika tu makorokoro a.k.a Dustbin thread

Naomba nisisitize kuanzia sasa mtu yoyote asinipe like ila tu pale atakaoojisikia....

Nina malike 100,000+ na hayajawahi kuwa na faida kwangu
.............
ebana vipicha vyako vya "did u know" ndo vimefanya nipitie uzi huu mrefu japo nimeanzia mwsho kurud mwanzo

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom