Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
AsanteeeEnd![]()
.......
AsanteeeEnd![]()
.......
Mi mwenyewe namshauri tu ila sina DSTVMbona kifurushii cha mambo ni kama cha azamu ...19500...channel kibao na now wameweka superspot 4..7...8...9...na 10 ...
Hongera kwa kumuivishaNimemuivishaaa
Apo hujaanza pambiooHongera kwa kumuivisha
Chikamoo jOsie
Napenda nione ukinitendea napenda nione ukinibariki napenda nione ukiniinua kila kitu kwako mimi napendaChiziiiii wewe ....
Twende mwingine auu
napenda nione ukiniinua napenda nione ukinibariki kila kitu kwako mimi napenda
Ameen shemelaKweli umeiva shemela
Mpe pole shemeji yako miguu haina ushirikiano hukoShabiby na kimbinyiko ndio gari za uhakika dodoma to mbeya
Ipi hiyo jamaanSiku ilee![]()
![]()
Sare sasa ya nini jamaan kwani mnaenda kuwowaSare ulipendekezaa wewe
Hapana aisee sinaga uzalendo wa taifa stars hiyo kitu imenishinda uzalendo ni kushangilia simba yangu tu mnyamaKuwa mzalendo
Hakuna namna wafungwe tuNa wafungweee leoo
Nimecheka sanaNimemuivishaaa
Ndo nakichunguza endelea kuniuliza ntakupa jibu.Ni kitu gani hicho??
Ahahahhh shemelaHongera kwa kumuivisha
Mama Mchungaji yuko wapi jamaniNapenda nione ukinitendea napenda nione ukinibariki napenda nione ukiniinua kila kitu kwako mimi napenda
Napenda nione ukiniponya napenda nione ukinifariji napenda nione ukiniinua kila kitu kwako Bwana mimi napenda
Napenda nione ukinitendea napenda nione ukinibarikinapenda nione ukiniinua napenda nione ukinibariki kila kitu kwako mimi napenda
Napenda nikiona ukiniponya napenda nione ukinifariji napenda nione ukiniinua kila kitu kwako Bwana mimi napenda
Napenda x2 kila kitu kwako Bwana mimi napenda
AiseeHapana aisee sinaga uzalendo wa taifa stars hiyo kitu imenishinda uzalendo ni kushangilia simba yangu tu mnyama
Hizo zote zilijaa nafasi IPO ya j3 tuShabiby na kimbinyiko ndio gari za uhakika dodoma to mbeya