Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Acha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaaa sijui katoka wapii
Acha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaaa sijui katoka wapii
Tuwekee jamani acyetaka mmoja ndo atuponze wote,tena anaonekana amejtenga na kanisa huyoHapana mke mwee siweki tena tumsubili mama atakaporudi tena
Yaani nimejikunja utafikiri niko kwenye daladala[emoji23][emoji23][emoji23]pole kama nakuona miguu yote inauma
Hiiii usitifanyiee hivo jamaniiii wachache wanaowakumbuka wengine kwenye maombi ...na ni vizuri ambao hawaendi kanisani kama binamu Obe wawe wanapata neno hapa...Kweli tena siweki tena uwe na amani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilijua tu pole jamaan kaka anguYaani nimejikunja utafikiri niko kwenye daladala
Unashangaaa mmemsema mama wa watu na signature yke hadi anaona uvivu kuja hapa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hapana mke mwee acha niendelee kujisomea biblia tu mwenyewe sitaki kukwaza mtu mieTuwekee jamani acyetaka mmoja ndo atuponze wote,tena anaonekana amejtenga na kanisa huyo
Basi tupo woteeNipo mimi
NijulisheeeHujui eeeh
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Nshaghailiiii sitakiiii
SawaHiiii usitifanyiee hivo jamaniiii wachache wanaowakumbuka wengine kwenye maombi ...na ni vizuri ambao hawaendi kanisani kama binamu Obe wawe wanapata neno hapa...
weka upuuzi pembeni wangu..tuwekee mara tatuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kigamboni hakuendekiii sale mzigawe au mvae jumapili
Lengo la huu uzi halijawahi kuwa kupeana like ilitokea tu kila post ilipata like hivyo kugeuka mazoeaHuyu jamaa alianza kwa kutupia kaneno kamoja kamoja nazani alikua ankusudia zaidi like mana ilikua ni mojawapo ya lengo la makapuku kama sikosei.
Kweli mke mwee wavae jumapili wakienda kanisani mtu na mjomba ake sare sare mauwa kama yange yange[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haya kaka shukraniUkyala gwa maka tukuja pakufika
Ndo nlizokuta juu ila nshapata wazo kwa mdau hapaMie mzima sana mbona unaquote post za jana
KuuumbeNooooo mwishowe mtaniambiaa zamu yangu
[emoji3] [emoji3]Kweli mke mwee jichekee tu
Achana nazo bhana uwe unaskipNdo nlizokuta juu ila nshapata wazo kwa mdau hapa
Afadhali.Kweli tena siweki tena uwe na amani