Makapuku Forum

Makapuku Forum

9b2d2196a02778fd937ff1cf6225b6fa.jpg
 
Mbona kifurushii cha mambo ni kama cha azamu ...19500...channel kibao na now wameweka superspot 4..7...8...9...na 10 ...
Kingamuzi + dish wanatoa bure?
Wameona AzamTv wamechukua wateja ndo wakashusha bei
Hata Azam siku hizi 15k/= mastation kibao tu

Na mpira nafuatiliaga mechi za Man Utd & Yanga tu liwe jua iwe mvua naenda hata kibanda umiza kulipa jero
Mechi za majirani hazinihusu labda iwe mechi muhimu sana

La Liga naangaliaga El Classico na vimechi vichache vyenye umuhimu
..........
 
Kingamuzi + dish wanatoa bure?
Wameona AzamTv wamechukua wateja ndo wakashusha bei
Hata Azam siku jizi 15k/= mastation kibao tu
Na mpira nafuatiliaga mechi za Man Utd tu liwe jua iwe mvua naenda hata kibanda umiza kulipa jero
Mechi za majirani hazinihusu labda iwe mechi muhimu sana

La Liga naangaliaga El Classico na vimechi vichache vyenye umuhimu
..........
Ila DSTV wana chanel nzuri sana na vipindi bora kabisa, huwezi kujutia kulipia hata 100,000 kwa mwezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom