Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
KirumbaWanachezaa wapiii
KirumbaWanachezaa wapiii
Ngoja nikusimulie habari ya kijana mmoja kijana mtanashati mpole kipenzi cha wengi anazo sifa nyingi lakini kuu kwake ni upendoMimi sasa ....kuna ile sasa
Thamani ya wokovu wangu amayejua ni mwokozi wangu ....
Thamani ya maisha yangu anayejua ni Muumba ....
Nikisema nimeokoka mbona hamunielewiii....
Nakuaminia mke mweeCiogopi mipasho mm
Na kweliMdogo wa mama Ashura
Mie naangalia marudio itv ya michezo ya kiswahili sijui chochoteMpm shunie akusaidie ndo mtaalamu wa azam![]()
![]()
Akiweza kutoa atakujaNgoja mama D atatupelekaa
Nategemea ufugaji wa bataKama vipi watapike hamia DSTV![]()
![]()
![]()
We mgeni hukoMie naangalia marudio itv ya michezo ya kiswahili sijui chochote

Hapana sihangaiki kuwaangalia hao taifa stars hamna chochote kwakweliWe mgeni huko![]()
![]()
Shabiby na kimbinyiko ndio gari za uhakika dodoma to mbeyaYaani nimekata tiketi cha ajabu asubuhi nikafaulishwa