Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuumbe!!!! Kuna watu nawaonaga hata mtaani huku km wameungua moto vilee kumbe ni huo ugonjwa!!!

Ila muhimu ni kujikubali tu basi
Huo ugonjwa hauna tiba
Alishindwa Michael Jackson na pesa zake wataweza akina ngumbaru?
Usipoikubali hali yake utamaliza hospitali zote na mpunga utaisha
Conjwa lenyewe haliwashi wala kuua
Unashambulia zaidi watu weusi tii ila hata Wazaungu huugua
Chanzo ni homoni tu na hauambukizi hata uwepo sehemu za siri
......
 
Huu ujumbe ni kwa wale wanasoma comments za Kapuku forum kimya kimya.

Karibuni sana kapuku..sie hatuna ubaguzi huku..

Karibuni sana, muache uoga wa kusoma tuu na kupita..

Hata wewe unayesoma kwenye browser , log in ...tia comment ! Sema hata hi..

Hii na kwa Manga ML na wengine woooooooooote mnaosoma posts za Kapuku forum kimya kimya


Cc

faiza Foxy
Mamndenyi
FaizerFix mbona anaingiaga humu mdau na kukomenti inapobidi
Yule bibi ashawahi kusema anatukubali na akija huwa tunataniana nae tu
Mod Paw,Bridger nap washaingia humu
Ze Bold & Ontario washaingia na kukoment na kutupa 5
Mkubwa Max nae aligonga like
Ungabure keshaingia mara kibao kutukana kwa kiingereza
Mchawi Jr zamani keshapost zaidi ya X 50
Nani mwingine bado?,
.........
 
FaizerFix mbona anaingiaga humu mdau na kukomenti inapobidi
Yule bibi ashawahi kusema anatukubali na akija huwa tunataniana nae tu
Mod Paw,Bridger nap washaingia humu
The Bold & Ontario keshaingia na kukoment na kutupa 5
Mkubwa Max nae aligonga like
Ungabure keshaingia mara kibao kutukana kwa kiingereza
Mchawi Jr zamani keshapodlst zaidi ya X 50
Nani mwingine bado?,
.........
Mgahawa wako huu hapa wewe jamaa..

Wanauza pizza na Burger..

1620e6c1c9e3b2f45adb3da9f5dadbea.jpg


65ccb33212919009df4cec15544d6995.jpg


Huyo hapo juu sijui ni nani hata..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom