Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Pole shemela wangu ndio uanaume huoShemela nipo, ila nimebanwa sana na kazi
Pole shemela wangu ndio uanaume huoShemela nipo, ila nimebanwa sana na kazi
Huu mzigo ni hatariiiKUMBUKUMBU.
Pichani ni Sarah Baartman mwanamke kutoka Afrika kusini aliegeuzwa maonesho enzi za utawala wa makaburu. Kutokana na sura na umbo la kibantu alipelekwa Ufaransa na kuwekwa kwenye majumba ya starehe ambako wageni walilipa hela ili wamwangalie akiwa uchi wa mnyama wakimlazimisha atembee ili waone anavyotingisha! Sarah alozaliwa mwaka 1789 alifariki mwaka 1815 akiwa na miaka 26 kutokana na mateso ya kuingiliwa na wanaume wasio na idadi pamoja na muda mwingi kusimama. Baada ya kifo chake alikaushwa na kuhifadhiwa ili aendelee kua kivutio cha utalii. Watetezi wa haki za weusi walikua wanashinikiza Ufaransa iukabidhi mwili huo kwa Afrika kusini ili uzikwe kwa heshima, juhudi zilokujafanikiwa mwaka 2002 chini ya msaada mkubwa wa Nelson Mandela ambapo mwili wa Sarah ulizikwa upya mjini Pretoria kwa heshima zote! .![]()
Nitaitika ngoja nimalize kufurahi kwanzaManga mbona salaam yangu huitikii
Usiku mwema Clkey.Jamani mlale salama
Nazani unajua mtu akikosa utulivu nini kinafuatakwahiyo kumbe unachapia maksudi
Kama kawaida fakalava ni mtu wa burudani.
Miaka ya 80' kwenda 90's muziki wa Raggamuffin ulichukua kasi yake, vijana wengi hasa Wajamaica walianza kuuimba lakini kuna baadhi yao waliitwa vichaa wa Raggamuffin.
Shabalanks
Buju Banton
Been Man
Shaggy
Nawe piaUsiku mwema Clkey.
Pamoja kipenzi cha QuigleyAsante kwa Nukuu T
Teh teh mzigo tenaHuu mzigo ni hatariii
Beba blanket...au nenda na TumosaAisee, poa mimi kesho nitakuwa kaskazini huko


Si uoshe asubuh Mamy?Jamaniiii mie naenda osha vyombo.... Baadae saaana jamani
Wakulala, Niwatakie tu usiku tulivu... Net ni muhimu kwa afya yako
Wasalimie Arusha..Ahsanteeeee
Basi sawaWapo wamepumzika sebleni
R I P Bradley![]()
Mazishi ya Bradley Lowery: Maelfu wafika kumuaga shabiki aliyegusa nyoyo za wengi....![]()
.........Maelfu ya watu walijitokeza katika barabara za kuelekea nyumbani kwa Bradley Lowery, shabiki wa klabu ya Sunderland FC ya Uingereza, kutoa heshima zao za mwisho.
![]()
..![]()
Ibada ya wafu ilifanyika katika kanisa la Mtakatifu Yusufu kijijini mwao, wengi wakimsifu sana mvulana huyo kwa ukakamavu wake na sifa alizojilimbikizia....
Maandamano yalikuwa sio ya nchii hiii..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jermain Defoe aliyeonekana kutekwa na hisia, alikuwa amevalia jezi ya England yenye jina la Bradley
![]()
Meneja wa zamani wa Sunderland David Moyes alikuwa miongoni mwa watu mashuhuri katika soka waliohudhuria mazishin hayo
![]()
![]()
Barabara za kuelekea kanisa la Mtakatifu Yusufu zilipambwa kwa puto na mabango yenye ujumbe wa kutoa heshima kwa Lowery.
![]()
Wengine waliacha ujumbe nje ya uwanja wa Sunderland wa Stadium of Light.
Waombolezaji walifika kwa wingi kanisani, hivi kwamba wengine walikaa nje.
Jamaa za Bradley walivalia jezi za soka, kukumbuka upendo aliokuwa nao kwa mchezo huo.![]()
Mamake Gemma aliambia waliohudhuria mazishi hayo: "Alikuwa na tabasamu kubwa na la kupendeza hivi kwamba lilikuwa lingeangaza chumba chochote kile. Ni shujaa mwenye ujasiri, ametuacha.
"Aligusa nyoyo za wengi - aliwatia moyo watu wengi. Mwana wetu mpendwa, ndugu - nyota ya kupendeza.
"Ingawa wakati uliokuwa nasi ulikuwa mfupi, ni lazima una kazi ya kufanya huko mbinguni na malaika kwani Mungu amekuchagua wewe.
"Kwa sasa, mtoto wangu kwaheri, Hatu tutakapoonana tena shujaa wetu huko juu mbinguni."...![]()
![]()
![]()
![]()
Ila kiukweli watu wameonesha upendo wa kiwango cha hali ya juu....zicheki picha watu walivoamua kufanya. .
Karibia kila barabara mtaani zilitumdikwa pichaa.![]()
...moyes alikuwepooo![]()
upendo uliojeee.....
![]()
![]()
![]()
Pumzika kwa amani kipenzi chetu....
Karibu Jimena, binafsi napenda muziki.Rasta Fari and I....
Asante kwa burudani tamu
Nawaona nawaonaUsiku mwema Clkey.
Pumzika kwa Amani Bradley![]()
![]()