Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hukuniambia ka kuna Transcend, mwanaume mwenye tabasamu nzitooo....unakumbuka nilikuwa nakwambia mwanzo ukuje ukawa hutakii
Hukuniambia ka kuna Transcend, mwanaume mwenye tabasamu nzitooo....unakumbuka nilikuwa nakwambia mwanzo ukuje ukawa hutakii
Na ndo lilikuwa wazo languKisaa...?
Sakayo anaweza akakuacha ndani akanifuta nje..![]()
Dada zake tena wako apiiiiMpaka dada zake wananionea wivu
HahahaWoiiiiii na ninavyozipenda sasa
Uhenga nao sometimes shiida loh!kamatia chini ndio nini hiyo dada ujue mie muhenga naweza nikawa nimevaa kitu nisijue

Dreads zake...Ni nini hizo unazomshika mpaka analia kama mtoto jaman


Wewe ndo jacket languHahahaaaa...
Hupitwi na masika..![]()
Weeeh tena usiongee hayo T wa watu ulivyomsumbua mpaka akafikia kuweka kambi mmu we na babu tuuu ila T kidume kumngoa yule mzeeHukuniambia ka kuna Transcend, mwanaume mwenye tabasamu nzitooo....
Nimeamini mapenzi yana nguvu sanaNa ndo lilikuwa wazo langu
Ewaaaa...Nataka uwe zile nikikushikaga mahali.. unalia kama mtoto..
AmeenFor you baby wangu..!
Mungu aendeele kukupa pumzi
NyweleNi nini hizo unazomshika mpaka analia kama mtoto jaman
woyooooWewe ndo jacket langu
Asante mkuu Bitoz1 The Beatles![]()
![]()
![]()
Ndo waasisi wa neno Bitozi ukipenda Tozy
Ni vijana watanashati wa zama zile hivyo kutokana na mvuto wao vijana wakawaiga na hapo sasa kila mtu akawa Bitozi
Walitamba vilivyo enzi zao na vibao kama Hey Jude ila mimi nasema Hey Husna
Nyimbo nyingine ni Don't Let Me Down na Yesterday
Walitoa albamu matata ambayo inashikilia rekodi ya mauzo hadi leo
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie week end njema
Tukutane Jumatatu
...........
MmmhNywele
Aisee mbona hana dreadsDreads zake...![]()
Nakugawa kwa Sakayo ujueUsigawe...
Waku watu wanatutolea macho.