Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
SurpriseUmeona nini kwenye Nukuu?

Sa atalala wapiiiKaribu...shem wangu
WoyoooooBasi nimeghaili shem
Nataka uwe zile nikikushikaga mahali.. unalia kama mtoto..Utaniua kwa sifa ujue
Ko Unaenda mwenyeweNikija nakuja nakaa siku 3 tuu nayeyuka kama kawaida yangu.
Ni nini hizo unazomshika mpaka analia kama mtoto jamanNataka uwe zile nikikushikaga mahali.. unalia kama mtoto..
Mamie wangu wa darNawapenda jamaaan
Zilee eehWatu tunanunua ujue tena elf 25 mpaka 35 acha tu
Usinigawe...Hahaha
Yaani wewe nakugawa bure ujue
Mamie wangu mie wa muhezaMamie wangu wa dar
Mwenzangu!!!! Yaani alijiharibu haswaaa mpaka keroHalaf alikuwa na rangi nzuri tu kwenda kujiharibu
Najua T wanguNakupenda sana.
Ukute niko naye sasa...La kuongea upate wapi hapo dada angu

Woiiiii husna upooo mpendwa wa binamu1 The Beatles![]()
![]()
![]()
Ndo waasisi wa neno Bitozi ukipenda Tozy
Ni vijana watanashati wa zama zile hivyo kutokana na mvuto wao vijana wakawaiga na hapo sasa kila mtu akawa Bitozi
Walitamba vilivyo enzi zao na vibao kama Hey Jude ila mimi nasema Hey Husna
Nyimbo nyingine ni Don't Let Me Down na Yesterday
Walitoa albamu matata ambayo inashikilia rekodi ya mauzo hadi leo
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie week end njema
Tukutane Jumatatu
...........
Mpaka dada zake wananionea wivuLa kuongea upate wapi hapo dada angu
Pole pole..Hivi kwa nini hukunileta huku mapemaa.... Huenda ningekuwa na ujauzito mwingine
Ahahhhh me nazipendaje crayz jeansZilee eeh
Sivai kabisaa