shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Barikiwa shemela wangu mie
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Barikiwa shemela wangu mie
JamaniiiiSizani kama kaambua kitu apo
Uache uchoyo ungekua unakaa na wifi zako si wangekusaidiaJamaniiii mie naenda osha vyombo.... Baadae saaana jamani
Wakulala, Niwatakie tu usiku tulivu... Net ni muhimu kwa afya yako
HahahaKama ningekua muandishi mziri basi ningekua muhenga wa namba za juu kabisa
Asante kwa Nukuu TNUKUU YA LEO
All of us show bias when it comes to what information we take in. We typically focus on anything that agrees with the outcome we want.
Sisi sote tunakuwa na upendeleo pale linapokuja suala la habari tunazozipokea, tunakuwa makini sana na vitu vyenye kukubaliana na majibu tunayotaka.
Haya maneno yalitamkwa na mwanamama , mwana uchumi, mhariri wa masuala ya uchumu ITV televion na mwandishi Bi. Noreena Hertz
Noreena alizaliwa September 24 1967 nchini Uingereza. Noreena ni mjukuu wa wa chief wa kiingereza Bw. Rabbi Joseph Hertz.
Noreena amesema falsafa na masomo ya uchumi katika vyuo vya University college of London Uingereza na The Wharton School of philadephia nchini marekani.
Baada ya masomo Noreena alimefanya kazi mashirika kadhaa nchini marekani ikiwemo Talent Agency LA marekani, amefanya kazi nchini Russia baada ya hapo alirudi nchini England kusoma shahada ya uzamivu juu ya biashara na uchumi (Phd in bussiness and Economics)
Noreena anaamika kuwa kati ya wanawake wenye uwezo mkubwa wa kufikiri sana duniani.
Mwaka 2001 , jarida la the observer lilimuandika kama "one of the world's leading young thinkers"
Mwaka hui huo 2001 jarida la Vogue magazine lilimuandika "one of the most inspiring women in the world"..
Media za Uk zinamuita Neggela lawson kutoka na utashi wake wa kuchambua mambo ya kuyaweka sawia.
Noreena, japo mimi napenda kumuita "Noreen" anatambulika kama "most of influencial economist on international stage" kwa sasa hivi.
Amkuwa na mchango mkubwa wa ushauri wa uchumi wa dunia kwa ujumla.
Vitabu vya Noreena vimeandikwa katika lugha 22.
Noreena ameolewa na aliyekuwa mkurugenzi wa BCC bw. Danny Cohen na wanaishi primrose hill nchini Uingereza.
![]()
![]()
![]()
Hii Nukuu imeletwa kwa Hisani ya Sakayo. Yeye ndio chachu ya hii Nukuu ya leo.
HahahaEbu nieleweshe si unajua magazijuto zimenipita pembeni [emoji3]
Aisee, poa mimi kesho nitakuwa kaskazini hukoChuga nahisi pako pouwa...
Niko mpanda leo mkuu.
Namulewa sana nae mwepesi wa kuandika ni noumaNi ile ile..
HahahaHata wewe ni mhenga, lizzabet
Manga mbona salaam yangu huitikiiSizani kama kaambua kitu apo
Naona bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nae ni muhenga manga wa kapuku
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Siachi mpaka nipate utulivu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]Kuna offer ya Heineken
Kwangu huyu ni mwanamuziki bora wakati wote.2/Michael Jackson![]()
![]()
![]()
Nani asiyeijua staili yake ya uchezaji iitwayo Moon walker?
Namzungumzia Wacko Jacko kakaye Janet Jackson aliyezaliwa mwaka 1958 na kufariki dunia 2009 akiwa na miaka 50....alikufa ila bado yupo mioyoni mwa watu na jina lake halitafutika kwenye orodha ya wanamuziki bora wa muda wote pamoja na kuwa na maisha tatanishi
Alianzia muziki kwenye kundi la familia Jacksin 5 amvbalo ni la wabandugu watupu na hapo wakatisha bila vinyago na kwake ndo mlango wa kuelekea kilele cha mafanikio
Tafuta tu Thriller au Billie Jean
.....
Kwenye vyombo auNawe pia, na net ihusike
AsanteNa kwako pia dada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo kumbe unachapia maksudiSiachi mpaka nipate utulivu
AhsanteeeeeNawe pia mamy
Wapo wamepumzika sebleniUache uchoyo ungekua unakaa na wifi zako si wangekusaidia
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Na wewe pia Clkey