Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Nakusubiria hapa... Ngoja nikuletee kikombe cha kahawa hunieNaaanza upya
Nakusubiria hapa... Ngoja nikuletee kikombe cha kahawa hunieNaaanza upya
Penda wewe apoMke wangu kichwa...
Ni noumaa
Wala huwezi sema ukweli.... Au nitupie na pic zako kabisaaaujapatia wewe yani hivo vi emoji ni kushaanga jinsi gani ulivyotoka nje ya box
NdioKisa signature??![]()
Ni wapumbafu lakini wametutawala kwa kila kitu sababu Waafrika hatujitambui wala kutukuza vyetu
Hatuwezi kuwadharau wakati hadi vyupi tunavyovaa vimetengeneza na watu weupe(hata Wachina nawahesabu ni weupe)
......
sijui tumelogwa na nani thithiiii

Mh haya weeUkanda wa Jamaica huo, usiogope.
Nakuona muhenga mwenzanguMwenzangu...
Hakika mama kazaa chema

Baba D yupoNa baba d vipi?
Sanaa kwakweliHadithi inagusa kila idara hii
hahah! angalia kwenye kutupia picha hapo, unaweza ukajichanganya ukatupia za TWala huwezi sema ukweli.... Au nitupie na pic zako kabisaa
R.i.p Bradley![]()
Mazishi ya Bradley Lowery: Maelfu wafika kumuaga shabiki aliyegusa nyoyo za wengi....![]()
.........Maelfu ya watu walijitokeza katika barabara za kuelekea nyumbani kwa Bradley Lowery, shabiki wa klabu ya Sunderland FC ya Uingereza, kutoa heshima zao za mwisho.
![]()
..![]()
Ibada ya wafu ilifanyika katika kanisa la Mtakatifu Yusufu kijijini mwao, wengi wakimsifu sana mvulana huyo kwa ukakamavu wake na sifa alizojilimbikizia....
Maandamano yalikuwa sio ya nchii hiii..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jermain Defoe aliyeonekana kutekwa na hisia, alikuwa amevalia jezi ya England yenye jina la Bradley
![]()
Meneja wa zamani wa Sunderland David Moyes alikuwa miongoni mwa watu mashuhuri katika soka waliohudhuria mazishin hayo
![]()
![]()
Barabara za kuelekea kanisa la Mtakatifu Yusufu zilipambwa kwa puto na mabango yenye ujumbe wa kutoa heshima kwa Lowery.
![]()
Wengine waliacha ujumbe nje ya uwanja wa Sunderland wa Stadium of Light.
Waombolezaji walifika kwa wingi kanisani, hivi kwamba wengine walikaa nje.
Jamaa za Bradley walivalia jezi za soka, kukumbuka upendo aliokuwa nao kwa mchezo huo.![]()
Mamake Gemma aliambia waliohudhuria mazishi hayo: "Alikuwa na tabasamu kubwa na la kupendeza hivi kwamba lilikuwa lingeangaza chumba chochote kile. Ni shujaa mwenye ujasiri, ametuacha.
"Aligusa nyoyo za wengi - aliwatia moyo watu wengi. Mwana wetu mpendwa, ndugu - nyota ya kupendeza.
"Ingawa wakati uliokuwa nasi ulikuwa mfupi, ni lazima una kazi ya kufanya huko mbinguni na malaika kwani Mungu amekuchagua wewe.
"Kwa sasa, mtoto wangu kwaheri, Hatu tutakapoonana tena shujaa wetu huko juu mbinguni."...![]()
![]()
![]()
![]()
Ila kiukweli watu wameonesha upendo wa kiwango cha hali ya juu....zicheki picha watu walivoamua kufanya. .
Karibia kila barabara mtaani zilitumdikwa pichaa.![]()
...moyes alikuwepooo![]()
upendo uliojeee.....
![]()
![]()
![]()
Pumzika kwa amani kipenzi chetu....
Alikuwa na imani kali6/Bob Marley![]()
![]()
![]()
Kama humkubali Robert Nesta Marley kisa tu alikuwa akipuliza moshi wa bangi basi kajinyonge tu kwangu mimi ndo Mfalme wa kweli wa muziki ...aliimba karibu kila kila kitu kuhusu maisha
Alizaliwa mwaka 1945 na jufariki mwaka 1981 akiwa na miaka 36 tu
Sababu ya kifo chake ni saratani liliyosabishwa na kidole alichoumia wakati akicheza soka na kukataa ushauri wa madaktari kukiondoa sababu tu ya imani ya kirastafarah
Alizikwa kaburini pamoja na kipisi cha bangi,gitaa lake na biblia iliyofunguliwa ikurasa wa Zaburi 23(kuhusu ukurasa sina hakika km nipo sawa)
Wimbo wake wa One Love umekuwa kama kauli mbiu tukufu dunia nzima
Vipi kuhusu I Shot A Sheriff ?
......
F#¥$("¥"("("¥("("("(("("🙂(🙂*÷¥"*÷¥$ kkkk
Nilikuwa naandika Nukuu bahati mbaya imefutika..
![]()




Mie ndo nimeifuta