Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
..yaani leo paka kalalia mgongo, pikipiki inarudi rivasi. yaani ukakasi kama denda la asubuhi kabla ya kuswaki, mdomo umechacha
mpendwa ujue unanivunja mbavu mwenzio..yaani leo paka kalalia mgongo, pikipiki inarudi rivasi. yaani ukakasi kama denda la asubuhi kabla ya kuswaki, mdomo umechacha
mpendwa ujue unanivunja mbavu mwenzioWoooooowwwwMkuu mimi hapa ni nyumbani ni mwanzo wa uzi huu utaona hilo sema si mshiriki wa kila siku imebidi niwe mtazamaji tu
Hivi Mosolin anapatikana?
Kayaandika mama ashura ee?!,,,hayo niliyokoleza sijayaandika mimi
Duuuu....hatariNimeisikia kwenye maandishi aunt yangu mwenyewe, yaani hasa kwenye korasi unabana na jicho kabisa (well, sio kubana jicho, bali kufumba kabisa ili utamu uusikize)
HayaMwanamke
Siko hivyo unavyofikiri mkuu..Kama ndiyo hivyo basi uache mapepe, maana ulijichanganya kidogo babu A akupige bao.
Ni teja aseee wanaficha tu haooMbona apa wazazi wake wanasema ni ulevi wa pombe lakini mwonekane wake unaonekana kweli kama teja
Kuna mzito hapa acha niwe mshuhudiaji tu

Alikuwepo ila kama week 2 hivi hayupo...Mkuu mimi hapa ni nyumbani ni mwanzo wa uzi huu utaona hilo sema si mshiriki wa kila siku imebidi niwe mtazamaji tu
Hivi Mosolin anapatikana?
Cjambo T wa Sakayo hbr ykoJambo wewe bint
HeeeeKuna mzito hapa acha niwe mshuhudiaji tu
Mambo mengi shem tunaingia kwa kubipSalama kabisa shem wane
Mbona tunapishana sana humu shem?
AkuacheSiko hivyo unavyofikiri mkuu..
Sina mapepe mimi
EwaaaaKamatia chini X3![]()
![]()
![]()
Nawe pia mamyJamani mlale salama
Shemela wa mimi upoDada Sakayo jamaan kama nilivyokwambia jana usiku naomba urudishe avatar uliyotoa hiyo mpya inanitisha jaman ujue mpaka sijalala nilikuwa naiota hiyo avatar jamaan siitaki dada
Ahaa nimemkumbuka alikua anatupia vineno vichache mahala pengiAlikuwepo ila kama week 2 hivi hayupo...
He will be back soon