Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Aahahhah naona nyayo zake tuUmemuona Manga humu kapuku eeh
Aahahhah naona nyayo zake tuUmemuona Manga humu kapuku eeh
Taratibu basiiiUmeanza kuhema kwa mashine eeh?
[emoji3][emoji3]
Manga nakuonaaaWoyoooooo
Kila kitu kwako napenda
Napenda nikiona ukiniinua, napenda kuona ukinibariki, napenda kuona ukiniponya [emoji120] [emoji120] haleluyaa
Binamu yangu asante sana ubarikiwe sana
Nimependa hapo kwa sakayo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama sio muhenga utaandamana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli,,,hayo niliyokoleza sijayaandika mimi
HahahaKila kitu kwako napenda
Napenda nikiona ukiniinua, napenda kuona ukinibariki, napenda kuona ukiniponya [emoji120] [emoji120] haleluyaa
Binamu yangu asante sana ubarikiwe sana
Nimependa hapo kwa sakayo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama sio muhenga utaandamana
Mmmmh..yaani leo paka kalalia mgongo, pikipiki inarudi rivasi. yaani ukakasi kama denda la asubuhi kabla ya kuswaki, mdomo umechacha
Ahahha umeisikia wapi hivi binamu we soma tu maandishi..una sauti nzuri
Uchochezi huoo,,,hayo niliyokoleza sijayaandika mimi
Nina uzuni moyoniiiiiHahaha
Malebo wangu jamani
MsalimieAahahhah naona nyayo zake tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nipogo hapa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Woiiiii husna upooo mpendwa wa binamu
Asante sana Bitoz
Manga shikamoo jamaan nakuona tu au nikusalimie kisambaaMsalimie
AhahhahahUchochezi huoo
..
Malebo hataki kuokokaaNina uzuni moyoniiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malebo hataki kuokokaa
[emoji1]Hukuniambia ka kuna Transcend, mwanaume mwenye tabasamu nzitooo....
Ahahha umeisikia wapi hivi binamu we soma tu maandishi
Binamu jamaanNimeisikia kwenye maandishi aunt yangu mwenyewe, yaani hasa kwenye korasi unabana na jicho kabisa (well, sio kubana jicho, bali kufumba kabisa ili utamu uusikize)
Hata mimi namuona Manga ML ana like tuu na kupita.Manga nakuonaaa