Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huyu nae alinikera na surgery zake za kujibadiri kira Mara aliutafuta uzungu kwa udi na uvumba
Usimhukumu
Alikuwa anasumbuliwa na Vitiligo ni ugonjwa usio na tiba ndo sababu mkononi alivaa glovu ili kuficha ila watu mlidhani ni staili na kuiga
Aliijichukia sababu nyingine ni kutaniwa tangu utotoni na kutukanwa na dingi yake eti ana lipua likubwa km nguruwe matokeo yake akaamua yale mliyoyaona
002f9872774bce1ede4341a186f7cb73.jpg
Huyu ni model huko Marekani amejikubali na kuwa nfano na anapiga pesa

Ni ugonjwa usioua wala kuwasha pengine kuuma ila ubadili rangi ya ngozi
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom