Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Huku zinaenda kama mungu alivyo pangaNzur tunashukuru Mungu tumefika mwez wa saba mjini, vp huko mishe zinaendaje
Nashukuru umefafanuaShimba ya buyenze umeamkaje
Ngoja nikutoe shaka, bitoz hajaanza leo kuwataja wasukuma au jana, tangu huu uzi umeanza mara nyingi hupenda kutaja wasukuma nani kwa utani si kwamba kwa sababu wewe upo au haupo hapana
Mpaka mimi ilifikia wakati wakati nikawa namtania kwamba lazima aoe msukuma maana si kwa mahaba hayo kwa wasukuma
Kifupi bitoz anawapenda sana wasukuma
Ndio maana hata jana alisema kiutani tu kuwa ile jamaa haipo, akiwa na sababu kuwa uje, na kweli ulikuja, sema ulikuja na tafsiri tofauti
Kipenzi cha moyo wanguShukrani kwa tetesi za usajili
Ndiyo maana nakupenda eti Jimena wanguTarehe 8 April
Team April
Team Aries
Team Winner
Sijui niendelee
Nimefurahi kujua hivyo pacha
Yaan tulikua na mkesha tarehe 31 mwez wa kujipongeza kuingia mwez huu kamanda, upo mbeya kamanda?Huku zinaenda kama mungu alivyo panga
Hapo mjini kwenu mkuu alisema watako fika mwezi wa saba wanaume basi jipigie makofi kwa kuwa we ni mwanaume unae weza kuishi popote
Uishi miaka yako yoteKeshokutwa itakuwa yangu
.....
Eti kama kajambaNashukuru umefafanua
Ingependeza zaidi ungepotezea
Msukuma anayefahamika humu KF ni EMMYGUY na tunamtaniaga vya kutosha na jamaa siku hizi siyo muingiazi
Sasa mtu hajatajwa jina halafu anajishtukia utafikiri kajamba
Ni niliamua kukaa tu kimya na kutomjibu maana siku hizi yupo ki--ve for everything kuhusu huu Uzi
Km katuchoka asepe zake moja kwa moja na sisi tuendelee na maisha yetu badala ya kuja Kutuzov buzzing ua
Na kuanzia now namuignore
Kwani nitapungukiwa kitu Maishani?
.......
Kwa sasa Dodoma ila kesho narejea kwetu mbeya maana saizi niko likizo ya kilimo nazurura kidogo mwezi wa kumi na moja nikiingia shamban ndo sitoki tena mpaka mwakaniYaan tulikua na mkesha tarehe 31 mwez wa kujipongeza kuingia mwez huu kamanda, upo mbeya kamanda?
Aisee, hongera upo likizo kama mkuluKwa sasa Dodoma ila kesho narejea kwetu mbeya maana saizi niko likizo ya kilimo nazurura kidogo mwezi wa kumi na moja nikiingia shamban ndo sitoki tena mpaka mwakani
Huko green city mashamba yanakodishwa kama sh. Ngap?Kwa sasa Dodoma ila kesho narejea kwetu mbeya maana saizi niko likizo ya kilimo nazurura kidogo mwezi wa kumi na moja nikiingia shamban ndo sitoki tena mpaka mwakani
RafikiPotezea mshikaji wangu..
. Its okey with me.
Nami OctoberNilitania tu
Mimi wa October
.....
Inafutana na eneo utakalo taka kukodi maana nasikie sehemu zingine inafikia hadi lakiHuko green city mashamba yanakodishwa kama sh. Ngap?
Mapacha mko wengiNami October
Ndio ila nilikizo bila malipoAisee, hongera upo likizo kama mkulu
Wewe upo mbeya sehemu gan?Inafutana na eneo utakalo taka kukodi maana nasikie sehemu zingine inafikia hadi laki
Sawa mkaliHuu utafiti wa leo ni hewa kweli. Mi nakubaliana na wale wanaoongozwa na mwili sababu najua akili tulizonazo ni za kupewa na jamii kitu ambacho kwangu sio sawa.
Mwili wako ndio rafiki yako kwa kweli na siku ukiamua kuutii japo kwa 80% basi maisha yako yatabadilika hadi utashangaa.
Kuna sababu kuwa kwanini tunazuiwa kuitii miili yetu. Sababu hizo ni pamoja na za kiimani na kiutawala. They know exactly kitakachotokea pale tutakapokuwa tunaitii miili yetu.
Rafiki yako wa ukweli hapa duniani ni mwili wako tu, haujawahi kukuangusha na hautakuja kukuangusha no matter what
Mjini Mara nyingi nikitoka hapo narudi zangu ileje huko wanaita mkoa wa songweWewe upo mbeya sehemu gan?