Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tafakar ya kirat. ..
ea68421515d163867eeb0361a199226b.jpg
 
In summary. ...

Aliyekuwa rais wa Brazil, Luiz Ignacio Lula da Silva, amehukumiwa kifungo cha miaka tisa kwa mashtaka ya ufisadi.

Leo klabu ya soka ya Everton kutoka Uingereza inacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na Timu ya Gor Mahia kutoka Nchini kenya

Mashindano ya riadha yanaendelea nchini Nairobi, Nchini Kenya, mamia ya vijana hufanya mazoezi kila siku ili kupata nafasi ya kuiwakilisha nchi.

Malkia wa rhumba duniani Mbilia Bel alikonga nyoyo za washabiki wake alipozuru Kenya wiki iliyopita , na kuwatumbuiza jijini Nairobi na Kisumu..
 
YEREMIA 17

7.Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA,ambaye BWANA ni tumaini lake,

8 .Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji,Uenezao mizizi yake karibu na mto;Hautaona hofu wakati wa hari ujapo Bali jani lake litakuwa bichi Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua wala hautaacha kuzaa matunda.

BABA asante kutuamsha salama,tulinde tena siku yaleo,tuondoolee makosa yetu tutakase,bariki wasafiri,watoto mashuleni,ponya wagonjwa wafariji wafiwa na yatima mpe kila mmoja wetu hapa MAKAPUKU haja ya moyo wake,tujalie amani tunaomba katika jina la Yesu Amen

NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Asante kwa neno la uzima, mama mchungaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom