Naja naja
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 747
- 1,462
Wapi kaka nimeleta mzaha?Siku nyingine km unataka kushauriwa kisiriazi basi jitahidi uandike kisiriazi
Ww ndo unayejua km ulidhamiria kuomba ushauri au lah
Anyway haina noma
Karibu tena
......
Au pale nilipoandika NB?
Niliandika NB kwa sababu humu JF viongozi wengi wanapita humu hivyo nikaona nitaje moja ya chanzo cha tatizo ili wajue kabisa ni kwa namna gani wanatuumiza wanafunzi kwa tabia yao ya kutunyima mkopo na kutoa sababu zisizokuwa na mashiko.
Hii itasaidia kwa namna moja au nyingine kulegeza kamba kwa watakao omba mwaka huu.


