Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
YeahKweli???
YeahKweli???
Jiue tuuEka basi njikome
AmeeenNawamis sanasana tupo pamoja Mungu awabariki...Love you ,God Loves you[emoji7] [emoji7]
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Kweli kaka nimeuliza nijue[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji3][emoji3] Inawezekana aisee cuzoo si unajua jf kichaka tunajifichan kwenye avatar fake na idNdio. Usikute ndugu[emoji3][emoji3][emoji3]
Nampenda aiseeYap yap
Binamu yupo mbona mtafuteShem binamu yako yuko wapi
Sawa maana mnabonga kinyumbani inawezekana majibu yakaja na uhalisia wa hilo jina la mjukuuKweli kaka nimeuliza nijue
Hana tofauti na mnyikaIwe hu mshambaa.... Uzaituka mnyika.
Sijui kama nitaweza babu hata kutoziogopa pesa zako babu yaan naogopa sana hela za watuUtakuwa salama ukiwa salama ukiwa muoga wa hela za watu...... Lakini babu yako pia ukiogopa pesa zake.. Huo uoga utakuwa umepitiliza.
Ahahhaha kwahiyo kaka na dada hawawezi kutaniana nimecheka tuSi nimezeeka jamani..... Halafu wewe utani mwingi... Nikiwa kaka yako utanivunjia heshima..... Lakini nikiwa babu yako aaaaa... Unakuwa huru kusema upendalo... Mjukuu na babu yake.
Yetu meshoHa ha ha ha ha ha ha ha ha ha.... Eka tiwee
Ahahhah jikome tiweeEka basi njikome
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lakini haileweshi
Asante Mama tumekumiss ujue[emoji524] WAGALATIA 5
22.Lakini tunda la Roho ni Upendo,Furaha,Amani,Uvumilivu,Utu wema,Fadhili,Uaminifu.
23.Upole ,Kiasi;juu ya mambo kama haya hakuna sheria
[emoji523] BABA Asante kutufukisha mchana huu salama ,tunakushukuru kwa kuwa wewe ni mwema hujawahi kutuacha ,msaada wako uko nasi kila iitwapo leo.
Asante kwaneno lako ambalo ni chakula cha roho mchana wa leo.
Tunaomba nyoosha mkono wako uwe nasi siku nzima.
Bariki kila mmoja apate riziki sawa na mapenzi yako.
Tutulize hofu na mashaka yoyote tuliyo nayo ,endelea kutupigania.
Tuimarishe tuliishi tunda la ROHO.
Katika jina la YESU...Amen.
MCHANA MWEMA WAPENDWA[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji258] [emoji259] [emoji257] [emoji257] [emoji256] [emoji255] [emoji255] [emoji255]Nawamis sanasana tupo pamoja Mungu awabariki...Love you ,God Loves you[emoji7] [emoji7]
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiue tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaka ebu niacheni nicheke tu maisha mafupi sana haya mzeewakungoa ameamua kunifurahisha leoSawa maana mnabonga kinyumbani inawezekana majibu yakaja na uhalisia wa hilo jina la mjukuu
Sawa dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaka ebu niacheni nicheke tu maisha mafupi sana haya mzeewakungoa ameamua kunifurahisha leo
Sa Unacheekaaa nini mdogo wangu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]