Makapuku Forum

Makapuku Forum

Pole saaana
Usijali Mungu ni muaminifu utafanikiwa.... Usikate tamaa kabisaa, jitume, sali na mwamini Mungu pekee... Binadamu watadhihaki, watakucheka na kukukejeli lakini Mungu kamwe hatokuacha uaibike kamwe...
Nashukuru dada sakayo kwa kunifariji

ila mwambie dada shunie haya maisha tu kuna kupata na kukosa aache dharau.
 
Tanga moja
718f9f82e0c00eabec83d107b78f0c25.jpg

Mwisho wa kunukuu
Yaani usinikumbushe kabisa Lushoto
Nilitekwa hadi kupasahau Mabibo nikawa tukimaliza Semester nashindwa kurudi home
Wasambaa weupe,wakarimu hawafu wanawake warembo ,wanajua kupika
.....
 
Ninayo kanzu ya kuzugia
Japo sio Mwislamu
Huko bila kanzu na malapa hapanogi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Hahaa ila sio comanded kivile kama, kwa wanawake..
Lazima upige baibui nyeusiii ngoja nitawapiga picha

Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
-Mond-
 
Nashukuru dada sakayo kwa kunifariji

ila mwambie dada shunie haya maisha tu kuna kupata na kukosa aache dharau.
Usijali mdogo wangu

Kwenye maisha kila mtu ana mtazamo wake ujue... Na huwezi mlaumu mtu maana, msamehe ili milango yako ya baraka iweze kufunguliwa zaidi...

Nazijua shida mie, najua kuna wakati familia inalala na kikombe cha uji na chumvi... Lakini sote tumeumbwa na Mungu, huku wengine wakimwaga na kugawa pombe kwa matajiri wenzao...

Sema asante Mungu, unapumua sa hii... Wengine wanapumulia mashine... Naamini ipo siku Mungu ataona hitaji lako. La mno ni kufanya bidii katika kazi zako
 
Back
Top Bottom