Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ni jambo rahisi tu kama dhamira yako ni kuweka tu rekodi na mfukoni kupo swaafi na una afya njema
.......
Ni jambo rahisi tu kama dhamira yako ni kuweka tu rekodi na mfukoni kupo swaafi na una afya njema
Woshe siwakunda.... Namkunda huyo ng'we du...



ndai huyo babu khaaNaona mnaongelea mautamu gani sijui. Loh!Nna utamu wa kukunda..... Namkunda mvyee lakini hanikunda
Iwe wamteiandai huyo babu khaa
Utamu kwa kisambaa ni ugonjwa ha ha ha ha ha.Naona mnaongelea mautamu gani sijui. Loh!
Angekuwa Afrika angeitwa mchawi na kiandamwa kama Bibi Paka
Utamu ni ugonjwa kwa kisambaaNaona mnaongelea mautamu gani sijui. Loh!
Ooh kumbe! Basi mawazo yangu yakaenda mbaliiUtamu ni ugonjwa kwa kisambaa
Ahsante mdau😎 Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ambae yuko London kwa ajili ya matibabu, amefanya mkutano wake wa kwanza na anaekaimu nafasi hiyo kwa miezi miwili sasa.
😎 Mashindano ya riadha ya dunia ya IAAF kwa vijana wasiozidi umri wa miaka 18 yanaanza hii leo jiji Nairobi Kenya
😎 Nchini Rwanda kuna mradi wa kutengeneza sodo zinazopatikana kwa bei chee ambazo hutengenezwa kwa nyuzi zitokanazo na mabaki ya migomba.
😎 Malaria bado ni changamoto katika nchi nyingi barani Afrika, huko nchini Tanzania kwa mujibu wa wizara ya Afya takribani watu milioni 18 huugua ugonjwa wa malaria kila mwaka. Katika kupambana na ugonjwa huo shirika la Afya la ifakara wamebuni mbinu mpya ikiwemo utengenezaji wa viatu vyenye kinga ya mbu hususani wakati wa mchana.
😎 kuna taarifa ya uwepo wa kampuni moja inayotengeneza viatu vya kwanza vya riadha kubuniwa nchini Kenya..
Lugha hizi...teh tehUtamu kwa kisambaa ni ugonjwa ha ha ha ha ha.
Ahsante mdauNUKUU YA LEO
A friend is someone who gives you total freedom to be yourself
Rafiki ni mtu ambaye anakupa uhuru kamili wa kuishi kama wewe
Haya maneno yaliwakusemwa na mwanamshairi wa kimarekani James Douglas ama jim morrison .
Jim morrison alizaliwa Dec. 8 1943 na kufariki July 3 1943.
Jim morrison alifariki nchini ufaransa kwa kile kinachosemekana kuwa ni Shambulio la Moyo.
Jim alikutwa akiwa amefariki bafuni kwake.
Be a friend! Live your life! Enjoy the short moment you have..
Life is too short..!
![]()
![]()
Kwa uandishi wa hili gazeti inabidi uwe na spea za ziada za mbavu
Naghamba wamteiaImiii![]()
mmh simteia
Ahahhah ukajua mambo ya kulana watu wanasifiana kilugha chetu ni sheeda aisee utamu ugonjwaOoh kumbe! Basi mawazo yangu yakaenda mbalii