Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
R.I.p jimyNUKUU YA LEO
A friend is someone who gives you total freedom to be yourself
Rafiki ni mtu ambaye anakupa uhuru kamili wa kuishi kama wewe
Haya maneno yaliwakusemwa na mwanamshairi wa kimarekani James Douglas ama jim morrison .
Jim morrison alizaliwa Dec. 8 1943 na kufariki July 3 1943.
Jim morrison alifariki nchini ufaransa kwa kile kinachosemekana kuwa ni Shambulio la Moyo.
Jim alikutwa akiwa amefariki bafuni kwake.
Be a friend! Live your life! Enjoy the short moment you have..
Life is too short..!
HawajiaminiCha ajabu wanakuja kuja huku kujambisha ni dalili kwamba hawana malengo wala kujua wafanyalo
Ni aibu mwanaume anaacha nyumba yake anaingia kwa jirani kujishebedua km demu akikaushiwa anajipitisha na khanga za vijembe akijibiwa kustaarabu pia haridhiki
......
Mh unaumwa hivyo halaf unashika simuGood sana endelea kulisongesha mwamba, ila mwandiko waficha mengi humu mara nyingi hua naandika humu hata kuongea siwez
MornMorning wakuu..
SawaUmbea sio kuona... Umbeya ni kuhadithia mambo.... Lakini namtania tu swahiba wangu huyo.
PoleYap ila nataka nije Dar kidogo kwa matibabu zaid..
Kabla hauzabua mnaziMbaramo wakuteia
Cha ajabu wanakuja kuja huku kujambisha ni dalili kwamba hawana malengo wala kujua wafanyalo
Ni aibu mwanaume anaacha nyumba yake anaingia kwa jirani kujishebedua km demu akikaushiwa anajipitisha na khanga za vijembe akijibiwa kustaarabu pia haridhiki
......
Mkuu mzima?Poa. Mambo vp?
Nimecheka sanaCha ajabu wanakuja kuja huku kujambisha ni dalili kwamba hawana malengo wala kujua wafanyalo
Ni aibu mwanaume anaacha nyumba yake anaingia kwa jirani kujishebedua km demu akikaushiwa anajipitisha na khanga za vijembe akijibiwa kustaarabu pia haridhiki
......
Husna mzimaMorn
Mh unaumwa hivyo halaf unashika simu
Imefanyaje dadakaka avatar yako
Nahisi wanapoteana hukoMkuu..
Huku kuna:
1.Magazeti
2. Nukuu ya leo
3. Story
4.Top Ten
5. Did you know
6. Unbelievable Facts
7. Today in History/ Historia
8. Sports Headlines
9. Tz headlines
10. Live score-ila hii kwa sasa iko likizo..itanza week hii baada ya preseason match kuanza.
11. Kuna Generalised story! Watu wanapiga story na kujuliana hali..
This is Kapuku Forum..
Mimi ntafundisha fees utachukua... Ukipenda unaweza kumpa Demi Pesa ya vocha
Morn tooMorng nyote asnt kwa magazeti
Ip man 3
Pole sana mvuvi mungu atakuponya na kukupa afya njemaSim yangu ndio kitu kinachonifariji na kuniweka zaid na marafiki wa huku mtaani sina rafiki yoyote
Leo katika historia
1975 - Sao Tome and Principe yapata uhuru wake toka kwa Ureno.
Dah hii home kabisaNge unsamehe mvyee wa kaya... Lakini ija siku tukidughana... Nge nkughoshoie vit'hu maalum... Yaaani iwe... Nge nkukome kwa mavit'hu ....eka du.