Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Yap nilirudi kwa ajili ya vitisho eti unapumzika kwa nini huna bando au jamaan hivi nitakosa bando kweli hata la jfNdio ukaamua kurudi..?
Yap nilirudi kwa ajili ya vitisho eti unapumzika kwa nini huna bando au jamaan hivi nitakosa bando kweli hata la jfNdio ukaamua kurudi..?
Safi brother..Pouwa naaje?
Niambie na mm nicheke
Sanaaa yaan husna unaendelea ulipoishia jaman![]()
![]()
![]()
umeguraahi mwenyewe
Hata sikumbuki jaman mambo ya jana hayoNiambie na mm nicheke
Ulitaka niwe mkubwa km nyumba na wakati umenishushuaaaLeo umekuwa mdogo km piriton
![]()
![]()
![]()
.
.
.
Tukutane kesho
Nikutakie usiku mwema
......
Umeona eheewachochezi hao ujue
Nawaonaaa MTU na anti yakeerUmeanza, wewe siyo wa kunifanyia hivi. Unapaswa kuniunga mkono na kiwiliwili. Ujue wewe aunt yangu kabisa
Pamoja sana shemela wa mimiAsante shemela wangu mie ila simba jaman wanaongea sana hata kama ndio team yangu
Tulia hukoMnakaribia kula pilau ya nani?
Mme mweeMorning
Ahahha nimewaona vivurugeUmeona ehee
Hivi huu uzi mnaongeaga nini??Niambie na mm nicheke
Sanaaa yaan husna unaendelea ulipoishia jaman
PoleNishafanya hivyo jaman nikilog in inarudi T
Tunaongea kiswahili jaman kwani huoniHivi huu uzi mnaongeaga nini??
Bado unakimbia, upe wiki 2 utakuwa mbele ya huu kwa repplies nyingi.Kuna uzi ukikoment unapata likes... yani lengo la uzi ni hilo (comment chochote upate likes) na ulikuwa unakimbia balaa
Pamoja sana mzeewakungoaAsante mkuu kwa vichwa vya habari za magazeti ya leo mkuu Shululu.
Namaanisha topic ni nini??Tunaongea kiswahili jaman kwani huoni