Makapuku Forum

Binamu hunishindi mie jamaan nilimiss vituko vyako binamu
nimefurahi pia binamu kuonana na wewe tena

Ahahhaha umenichekesha eti huwezi kuwasemea wengine halaf binamu we mchoyo ujue unaonekana

Tumosa kaniambia unajifunza kuweka maua binamu
 
Hehe, nimemuona aunt yangu na safari ya Kigamboni naiona inanukia.

Kama utatusindikiza hakikisha umeulamba, mambo ya kuja na msuko tangu pasaka tutaachania kwenye pantoni
tutamnunulia brazillian hair asitutie aibu kigamboni safari ipooooooo
 
Wakuu habari za siku??..,nawapenda sana mishe mishe zanifanya niwe bize, na nisiingie kabisa jukwaani.

♡Cc.mndali-salamu zako nimezipata kakaangu tuko pamoja mno..

♡Cc.shunie-nimekumisi sana lee mzima??

♡Cc.shululu-nimekumissi afande mwenzangu vip shemeji yangu mzima??

♤Cc.lee empire-nimekumis sana blaza vip porini kwema??

♡Cc.bitoz-nimemisi story zako kaka

♡Cc.shimba ya buyense-nimemisi utani wako mkuu tuko pamoja.

♡cc.husna muba-japo kuachwa ni kubaya,hila ukikuzoea ni kuzuri sana, bado nakupenda ukiona vip nirudie, DOOR IS OPEN FOR YOU.
Pia nimewamisi wote hata ambao sijawataja list ni kubwa
-sakayo
-nyagei
-transcend



Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Nimependa hapo kuachwa ni kubaya ukizoea ni kuzuri Ahahhaha we shedede kubaliana na hali ujue kuna maisha bada ya kuachwa lee mzima anakusikia
 
Doh
 
Huyu kweli kapendelewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…