Mi km nimempenda mtu najilipua tu sinaga huo uwoga kukubaliwa na kukataliwa yote ni majibuMimi nikimwendea mtu pm kweli huwa siwezi kumtongoza, mtongozano ni hapa kweupeee na yanaishia hapa hapa
Acha hizo mdauKwa status yako as presida wa kf ukianza kutongoza hadharani ni kujishusha hadhi, sisi ni raia hatuna cha kupoteza, acha tuoane, wewe tongoza wake zetu pm, wakikupa ni juu yao.
Salama kaka karibu tena nyumbani hope umekuja na jambo zuriUmeamkaje dada
Asante barikiwa piaUbarikiwe my dear Tumosa
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ni kweli wa kawaida lakini hapa status yako ni presdaa lazima upewe heshima hiyoAcha hizo mdau
Mi wa kawaida tu
........
Nipo mydear..nimebanwa tu na shughuli za hapa na pale. Miss u too my LeeMy cookie. ...nakumis
Ulijificha wapi weye Mond anakutafutaNaona umefurahia. Mke mdogo akafanye nini maporini? Waende tu...
Mdau, umeishia kumuona kwa maana ya kumwangalia au umeongea naye?
Isije ikawa kama zile sinema bubu.
Ni jambo zuri kukuona umerudi, hivi siku tatu zilitimia?
Kapuku hotelUkiwa unabugia ugali kibua mimi nakushushia tetesi za usajiliii kwa udhamini mnono wa kapuku hotel...
Twende sawa....
Na ukiona mtu anabembeleza penzi huyo naye ni "mtu mdogo"
Ukiona thread inabembeleza watu wapost hiyo pia ni thread ndogo
Ukiona mtu anabembeleza urafiki huyo pia ni "rafiki mdogo"
........
Fanyeni hivyo
Niwaachie thread
......
Ooh kumbe..nilidhani wa DARChips,Hayupo dar huyo yupo mtwara
Ndio ni viazi mbatata. Hupendi?Chipsi si ni viazi?