Duh aisee3/Randstad Holding NVNi kampuni ya Kiholanzi inayojihusisha zaidi na kutumikisha watu(human resources)
Yaani ni kama ma kampuni ya hapa bongo yanayosambaza watu maofisini ila hii ni ya kimataifa ukiwa na matawi zaidi ya 3000 duniani kote
Anaingiza mkwanja unaofikia USD 23 billion
Imeajiri watu takribani 600,000
.......
Itakuwa mirinda nyeusi huyu
Woiiiiiiiiiiiiiiinaomba upate juice Jimena
Niko hapa nikusikilize jamani
Mwanampotevu karibu, tupo salama kabisa, za kwakoMmeshindaje ndugu zangu
Pambe tuuWoiiiiiiiiiiiiiii
Thanks bitoz kwa kumi kubwa1/Wal--Mart Stores Inc
Wamiliki ni Wamarekani
Ndiyo kampuni iliyoajiri watu wengi zaidi duniani.......Kwa Marekani imeiacha mbali McDonalds Kwa wingi wa wafanyakazi au pengine na kimapato
Inajihusisha zaidi na uuzaji wa bidhaa za rejareja(retail trade}
Hawa jamaa ndio wamiliki wa Walmart,Sam's Club na biashara kibao
Kwa mwaka huingiza takribani USD 480 Bilioni
Imeajiri zaidi ya watu 2,200,000
.
.
.
.
.
Shukrani Kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........
Amiina mukongo hbr ya chimbo hope uko poaBwana Yesu asifiwe, wapendwa
Mi mwenyewe nimemshindwa tabiaKwa vijembe tu,unatisha
Hahaha kha!mdau Bitoz huu ni unyanyapaa ndio maana watu wanawadanganya umri ukishtuka ..una bibi nyumbani
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
HusnaWoiiiiiiiiiiiiiii
...maandishi yako nami yamenifanya nijisikie kuumwa, uko wapi nije uniandikie dawa?
Shukrani kwa 10 kubwa Bitoz
Pamoja wadauThanks bitoz kwa kumi kubwa
Lala salamaPamoja wadau
Leo bajilalia mapema
Nimechoka na kesho nina kaishu
Niwatakie Usiku mwema
.........
u make me laugh
Labda...Aisee, ndio yule mkimbizi aliyeko uhamishoni marekani Gurleng
Nimelelewa uswazKwa vijembe tu,unatisha