Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Happy birthday Maria Julia MantillaLeo katika Historia
10/7/1984 - Maria Julia Mantilla, Mwanamitindo toka nchini Peru anazaliwa
Alikuja kuwa Miss World 2004.
Happy birthday Maria Julia MantillaLeo katika Historia
10/7/1984 - Maria Julia Mantilla, Mwanamitindo toka nchini Peru anazaliwa
Alikuja kuwa Miss World 2004.
AsanteWakuu kumekucha salama kabisa...soon simulizi na UF bila kusahau dondoo za bbc
Kwanin kamanda nyageiAah kamanda yule jamaa hapana
Shukrani mkuu Jimena Jimenes double JNa kufikia hapo basi sina la ziada kwenye historia. Asanteni sana kwa kunifuatilia..... Shukrani sana kwa mwaka mmoja na miezi 3 ya Makapuku Forum ambao ndio imedhamini ngwe hii....
Niite Jimena Jimenes a k a JJ nawatakia jumatatu njema yenye mafanikio tele
Ondoa shaka nipo fiti kalikitiSalama kabisa hofu kwako tu
HakikaPole Mondray,leo jumatatu saa hizi ni saa tatu na nusu asubuhi je tayari upo hospitali,nakushauri utibiwe hospitali na ufuatilie kwa karibu ushauri wa daktari ili tatizo lako lipate ufumbuzi wa kudumu..afya ni mtaji...MUNGU AKUTANGULIE KATIKA MATIBABU YAKO.
Yule alikuwa hajitambuiKwanin kamanda nyagei
Aisee bas samahan kwa hiloYule alikuwa hajitambui
Hata mimi=TECNO..ILA sikujua kama inakera ngoja leo niwambie vijana waitoe.mi huwa naona sawa tu maana nabadili simu mara nyingi nawakati mngine huwa sijui kama inasomeka nasonga tu nitakuwa natoa mapema.Nenda setting kisha signature halafu weka tick kwenye none
Husna + Kimario = TECNO
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Pole mdau Bitoz,Mungu wetu ni mwaminifu utakuwa mzima kabisa ,ni changamoto za maisha ,la msingi ni muhimu kukubali na kusonga mbele kuna mambo ambayo maishani Mungu akiruhusu yatokee huwezi kuyabadilisha na huo ndio ubibadamu,Mungu akutie nguvu..muhimu kuzingatia ushauri wa daktari,kunywa dawa tunazoandikiwa,kufuata ulaji bora magonjwa yanapungua..Kwanza kubali hali yako kisha anza kuiona ni changamoto tu halafu kabiliana mayo
Mfano mimi tangu mwezi April naumwa ila nimeikubali hali yangu na kumeza dawa kila siku na kufuata nasharti ya Daktari now nipo nafuu kiasi ila mwanzoni sikuweza kabisa hata kutembea
.......
Inajazaje na ipo chini ya post?tena line moja tu hapa itafanya watu wawe woga kama hajui kutoa, tuvumiliane kama mimi hapa mpaka watoto warudi wanitolee mtaendelea kuona hivyohivyo,sasa kama mtu hawezi kutoa na hajazoea hapa MAKAPUKU akiona hizi kauli anakimbia,jitahudini kuongea kauli zisizokatisha tamaa,watu tunatofautiana uelewa..........maana anaona aibu na ka TECNO/KAITEL/VODAFONE KAKE,me mnivumilie tu ndio nilizonazo hadi nitakapotoa au kununua Yenye hadhi.Toa basi hiyo mambo ya Y3+
Inajaza uzi bure
Napenda kusikia kuwa umetibiwa tayariTatizo ni tumbo tu linanyonga, chembe moyo inauma mwili nimechemka..
Nikizunguka jf kwa daki 30 tuu nione hizo signature nahisi nitakufa kwa kicheka..

Omeprazole ni kwa ajili yaNunua omeprazole Mondray
Mondray hili tatizo nakumbuka si mara ya kwanza,naomba uongee na daktari akuambie mambo muhimu na dawa muhimu za kuwa nazo kama first aid ,za kukusaidia mpaka ufike hospitali,ni hatari kupata maumivu mfululizo bila msaadaNazitoa wap wakati maduka yamefungwa na hospital mpaka kesho..
Ni vipimo vilivyo thibitishwa na WHO,Zipo hospital zina microscope lakini mara nyingi wanatumi MRDT,na ikiwa positive unatibiwa malaria...so microscope hutumika kuthibitisha mambo mengineDaktari yupi broo yaan hapa natumia mipanado tu huku maralia inapimwa kama ukimwi ukitumia kale kakipimo wanatogawaga.
Sijawah ona microscope..
Naamini alikuwa anajoke...tumeshakua ndugu mahali hapa utani ni sehemu ya maisha..by the way unaendeleaje mkuu za uzima?tunakumis mahali hapa,wewe ni sehemu ya familia hii kama kuna mahali ulikwazika TUSAMEHE....tuendelee na maisha yetu.karibu nimefurahi kukuona hapa ubarikiweWhat do you mean? Why me and not you, sir? Am I that bad that I deserve an abusive wife? Anyway, God bless you!
