Makapuku Forum

Makapuku Forum

60f16457d7600a0fec945fb258e33935.jpg
 
Inajazaje na ipo chini ya post?tena line moja tu hapa itafanya watu wawe woga kama hajui kutoa, tuvumiliane kama mimi hapa mpaka watoto warudi wanitolee mtaendelea kuona hivyohivyo,sasa kama mtu hawezi kutoa na hajazoea hapa MAKAPUKU akiona hizi kauli anakimbia,jitahudini kuongea kauli zisizokatisha tamaa,watu tunatofautiana uelewa..........maana anaona aibu na ka TECNO/KAITEL/VODAFONE KAKE,me mnivumilie tu ndio nilizonazo hadi nitakapotoa au kununua Yenye hadhi.
Mama umeongea kwa hisia sana
 
Omeprazole ni kwa ajili yabmaintanace kama ana vidonda watacheck hpylori kama positive watampa kit ya mwezi..na magnesium ya maji,na baada ya hapo omeprazole kidonge kimoja kila sk,kama serious atachomwa pantocid,na kadrip angalau mbili na dawa ya maumivu atapumzishwa hosp ,baada ya hapo kama atapimwa ndio hiyo kit..ni lazima aende hospitali ili kupata tiba sahihi,na kuwa mwangalifu na chakula,kula kwa wakati na right food
Somo zuri sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom