Nyumba ndogo ya muzee ya peremendeKumbe ndio shem wetu huyo
Ni kiwango kikubwa sana hicho kwaoEverton wametoa dau jipya la pauni milioni 32 kumtaka kiungo wa Swansea Gylfi Sigurdsson, 27. Wakifanikiwa watakuwa wametuia zaidi ya pauni milioni 100 za usajili msimu huu (Daily Mail).
Asante, nawe piaTuwe na mchana mwema
Za mchana shemeji, naona ndio unaamka
UbarikiweTuwe na mchana mwema
Ubarikiwe mpendwa wangu siku njema
JjAsante. Baraka hizo ziwe na kwako pia
Nawe pia mamyUbarikiwe mpendwa wangu siku njema
Safi shemeji.. Nimeamka usiku mnoo sema majukumu ndo yanabana.... Hapa tuu ni lunch nikasema ngoja nichunguliemo kidogoZa mchana shemeji, naona ndio unaamka
Mungu mwema asanteNaamini mu wazima wote...
Tupige kazi jamani
Walcott ni Mwingereza halisiMshambuliaji wa Arsenal Theo Walcott, 28, amedhamiria kupigania nafasi yake Emirates, licha ya kuhusishwa na kuhamia West Ham kwa pauni milioni 20 (Daily Star).
Hakukuwa na uwezekano wowote wa kurudi Utdristiano Ronaldo atabakia Real Madrid msimu wa 2017-18 na hivyo kufuta uvumi wa kuhamia Manchester United (AS).