Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Angalia PM yako![]()
![]()
![]()
kweli aibu yetu tumebaki uchi leooo
Km vipi mimi nalala
Tukutane kesho
........
Angalia PM yako![]()
![]()
![]()
kweli aibu yetu tumebaki uchi leooo
Muziki: Penda Mwili Wako
Jumapili inaishiria wadau, naamini kabisa tumekuwa na siku nzuri. Kila mmoja na siku yake, wapo waloenda church leo, wapo walioenda kazini na wapo waliokuwepokuwepo tu, lazy sunday. Na kizuri zaidi ni kuwa bado tunakutana hapa na kubadilisha mawili matatu. Kapuku Forum ni jukwaa bora kabisa kwa sababu wewe u sehemu yake. Unalijua hilo.
Easy and lazy sunday ndivyo nilivyoiona leo mimi, na hata maongezi ya humu ndo yamekaa kirahisirahisi tu ilmradi tu kufanya siku iende vizuri.
Mambo ya simu ha hahahahaha, Tecno werevaa (whatever right?) ndo imeshika chati leo, hongera sana wenye tecno werevaa maaana naonaoga hata mnaweza kutuma maua. Mimi simu yangu ina simu ndani ya simu, cover la singsung, betry LG, supika za motorola, na keypads ni za tecno werevaa bila kusahau ni screen tach ya Itel6 (inafanana na Iphone). Mwisho wa siku ninaweza kuweka signature na kuingia JF kufurahia KF. Una tatizo na simu yangu?
Muziki wa leo: Penda mwili wako, yeah, love your body maana ni wewe na huwezi kuwa mwingine, kama una kakitambi ka bia na machalali basi endelea kuongeza michemsho, mwili ni wako utunze maana ni wewe unaumiliki. Fanya mazoezi ya kiaina ili uwe mwepesi, kula misosi ya maana sio kila siku wewe karanga na fanta orange.
Tuburudike na Ed leo, kuikamilisha Jumapili yetu na kuombeana kuwa wiki hii iwe ni nzuri na yenye mafanikio kwetu.
Ameweka mchanaBado hujaweka story mkuu
Dreams never end by fear
Itakuwa kawahi kutoa hiyo signature kabla hatujaonaUnatumia laptop au mbona sioni aina ya simu unayotumia![]()
![]()
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Mapenzi mubasharaKabisaa Husna..
Ulale salama bossWakuu...
Asante kwa muda wenu.
Mimi nawatakia usiku mwema.
Tuonane panapo majaliwa..
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
Ya Leo kaliHongera Mr werevaa

Mara utaona
sent from my Tecno Kimeo using jamiiforum mobile app
hiyo urongooooJero ipo kwenye vochaHa hahahahahah! Buku la nauli nimependa hapo. Hawakuongezi jero la kununua maji njiani?
Nishatoa banaaToa basi hiyo mambo ya Y3+
Inajaza uzi bure
What do you mean? Why me and not you, sir? Am I that bad that I deserve an abusive wife? Anyway, God bless you!
Picha inajieleza mkuu, niliwaza baadae utakuwa na mwili wa wastani huku shem atakuja kuwa na heavy bodyShemeji. Umemuelewa Nyagei? Kwa nini kani-tag mimi? Umecheka sana bila shaka unaelewa kinachoendelea !
Itakuwa vizuri mkuu halafu pendelea kutafuna karoti kwa wingiMwez huu nikija bara nutafanya chek up..